Father Kitima amstukia Dkt. Nchimbi

Status
Not open for further replies.
Mambo yote ya muhimu ya kufanya hapa duniani wewe jambo la maana umeona ni kudinyana?
 
Hopeless
 
Sawa Mrs Kitima.
Ukishazoea maisha ya kuolewa kisiasa na handle yako kwa ajili ya tonge, unafikiri kila mtu anatafuta mume mjini. Pole sana chawa wa kike/kiume, hapa tunajadili upeo mkubwa wa akili wa Fr. Dr. Charles Kitima (PhD), hatujadili nani anasafisha vyombo vya wakubwa wako. Jifunge kibwebwe vizuri maana dozi bado haijaisha!
 
Asante Fr Kitima kwa mwongozo.
 
Si kwa uchawa huo kwa huyo Padri!
 
Si kwa uchawa huo kwa huyo Padri!
Nimegundua JamiiForums kuna genge la watu ambao hoja ikizidi urefu wa masufuria yao ya ugali, wanaanza kuweweseka kuhusu ngono na ushoga. Mimi sina muda wa uchawa; niko hapa kimkakati kwa ajili ya kufundisha na kuelimisha watu wenye vichwa vigumu wasiojitambua. Kama darasa hili limekuingia na wewe, basi mshukuru Mungu. Fr. Dr. Charles Kitima (PhD) anajadiliwa kwa upeo wa akili, sio kwa akili zenu fupi zinazowaza mambo ya chumbani masaa 24. Badilikeni!
 
Hao wanapiga miti sana tu mkuu mpaka wana watoto huko wamezaa.

Wangeruhusiwa tu kuoa wala sio dhambi.
 
Tumia akili kufikiria hayo mahaba mbele hayakusaidii, Umeona msomi ni yeye peke yake hadi ufananishe ukoo mzima wa mchangiaji kwa kichwa kimoja?

Kwa akili hizo ndiyo zinapelekea wenye dhamira njema na nchi kuona hakuna haja ya kukaa meza moja katika ujenzi wa nchi na kubaki kuwabania mwanzo mwisho.

Maslahi ya nchi ni hatma ya kila mmoja na si kuingiza mambo binafsi(Chuki+Mahaba)

Komaza akili kwanza kisha uelimike hapa.
 
Akili yako yote inawaza ngono tu!! Baadala ya kutafakari mawazo yake kama ni chanya.
Maisha bila ngono hayana maana yeyote...
Ni kama vile tungekuwa tunakula halafu hakuna ladha ya chakula basi chakula kisingekuwa na maana yeyote katika maisha yetu...
 
It is laughable to see someone who survives on political fanaticism and sycophancy for survival talking about 'national interests.' No nation-building table has room for idiots who obsess over sexual remarks in the middle of intellectual discussions by scholars like Fr. Dr. Charles Kitima (PhD). I used your family line as an example so you could grasp the vast distance between true knowledge and your online hunger, but unfortunately, your head refused to understand. Keep on blocking whatever you think you are blocking from your local street corners. After this hit, do not expect another reply from me—the class is officially closed for you, as you cannot sit at the same table with intellectuals when you lack the capacity to differentiate national issues from petty street taunts. Farewell, sycophant
 
hata padri mlevi zaidi, mchochezi, muongo, mwenye chuki binafsi zaidi na mpenda ngono sana, anapatikana Tanzania tu tena ni ndani ya kanisa katoliki
Ulishawahi kumpa tundu akakutatua nini mboni una hasira nae sana?
 
Sawa padri kitima...MTU smart hawezi kuamuliwa mambo yake na "just a man made system"..
Upadri ni project ya watu ambao hawakifikiri vyema na wanapishana na maumbile ya kibinadamu...
Ni kwa mfano gravity...kwamba kwa kikanuni vitu huanguka kuja chini lakini wewe useme inawezekana vitu viende juu..
 
Hana jipya kushinda wengine zaidi ya kuelemea kwenye mitazamo binafsi kwa maslahi yake au Taasisi anayo iongoza , jitafakari kutoka kwenye utumwa wa mahaba dhidi ya watu bila hoja thabiti kwa maslahi ya Tanzania.

Mtachapwa sana kwa akili mgando za hivyo.
 
Katiba Mpya na mambo ya tume au vyombo vya usalama wapi na wapi?
Katiba mpya itatenganisha vyombo vya dola na vyama vya siasa na siasa kiujumla wewe chawa wa buku 7.

Uliwahi kusikia UK kule Labor au Conservative kimojawapo kinasaidiwa na polisi kushinda uchaguzi au kuzuia mikutano ya mpinzani wake kikizidiwa hoja?

Uliwahi kusikia Republicans au Democrats kwa nyakati tofauti vikiwa na rais kutoka vyama hivyo vikiagiza mpinzani wa rais aswekwe jela kwa tuhuma feki za uhaini kwa kudai mabadilko ya sheria na mfumo?

Uliwahi kusikia UDA inasema ODM wasifanye mikutano ya siasa kwa kutumia jeshi la polisi sababu tu wao ndio wanashikilia madaraka?

Tutaendelea kuwaelimisha machawa umuhimu wa katika mpya na mipaka ya vyombo vya dola kutojihusiaha katika majukwaa ya siasa, majukwaani waachie wanasiasa wanyukane kwa hoja wao wahusike na mambo ya kiusalama tu.

Machawa mkishalamba buku 7 mnaona katika hii chakavu ndio nzuri maana inawapa dezo ya kuonea upande mmoja wakati jukwaa la siasa linatakiwa kuwa sawa tuone hoja za wote.
 
Lazima mamako atakuwa anajua akili za Kitima.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…