Cancer is associated with CARCINOGENS-chemical irritants that can produce cancerous lesions over time.
Bile acids are an example.The amount of fat in diet affects the amount of bile the body produces.In the intestinal tract some of these bile acids can form irritating carcinogenic compaunds.The longer these compaunds stay in contact with the lining of the colon,the more irritation results.
This is where Fiber comes in.With a low fiber diet,material move slowly through the intestines,often taking from 72hrs to 5days to complete the journey from entry to exit.Most fibers absorb water like a sponge.This helps fill the intestines and stimulates them to increase activity.With a high fiber diet,food travels through the intestines in 24 to 36hrs.
Thanks for the information Konzongwe, pia katika hayo mambo ya fibre hivi pale mtu anapopata choo kigumu sana au kukaa mda bila kwenda choo ndo inamaanisha hana fibres za kutosha! Na je ni vyakula vipi vizuri atakavyoweza kula ili vimpe choo kizuri. Nina ndugu wengi wenye tatizo hili. Naomba ushauri hapo. Na je mtu akiwa anachukua mda kwenda choo kama wiki hivi kunamadhara gani? Asante kwa msaada wako.
Asante Lorain.Jibu la haraka ni ndiyo,upungufu wa fiber na hili tatizo linaitwa CONSTIPATION.
Excess fat in our diets ni chanzo kikubwa cha maradhi kama HEART DESEASE,GALLSTONES,OBESITY,STROKES AND DIVERTICULITIS.Hayo ni machache kati ya mengi.
Solution😛unguza vyakula vya fat nyingi i.e animal products zote na mayai ni hatari.Zidisha vyakula vya matunda na majani because these plant foods are high in fiber,low in fat,and cholesteral,they are the ideal way to go.
Nadhani nimejibu,kama bado uliza.
Ujumbe:Eccleastes/Mhubiri 10:17
Thanks for the information Konzongwe, pia katika hayo mambo ya fibre hivi pale mtu anapopata choo kigumu sana au kukaa mda bila kwenda choo ndo inamaanisha hana fibres za kutosha! Na je ni vyakula vipi vizuri atakavyoweza kula ili vimpe choo kizuri. Nina ndugu wengi wenye tatizo hili. Naomba ushauri hapo. Na je mtu akiwa anachukua mda kwenda choo kama wiki hivi kunamadhara gani? Asante kwa msaada wako.
je, mihogo, viazi, na mizizi mingine ya kijadi je? (magimbi) unashauri je kuhusu kuongeza fiber?
manake wanasema eti katika triangle ya chakula
whole foods/grains (fibers&starches) ndio ziwe nyingi zikifuatiwa na mboga, then matunda na proteins then sukari kidogo kabisa kama sijakosea.
sasa hizo 'whole grains' ndio zipi hapa bongo?

Kukaa zaidi ya siku 3 bila kupata haja kubwa sio sawa na tatizo hili huwapata wakina dada wengi,hatujui unakula nini,kama unakunywa maji ya kutosha. Ukinywa maji ya moto glasi 2-3 asubuhi na kula matunda/mboga kwa wingi na kutoruka milo mingine lazima utapata choo angalau kila siku 2.Mi huwa napata kila siku mara zingine hata mara 2 kwa siku.
Asante sana kwa maongozo wako. Sasa naswali lingine, naambiwa mtu ukinywa maji ya moto yanaweza kukuletea ulcers maana utumbo wa binadamu ni weak sana. Naomba ushauri pia hapa.

Duh!
Wapi ulisikia au kusoma habari hizo? Siyo kweli. Na pia, utumbo/tumbo la binadamu sio weak hata kidogo.
Kama mtu ana ulcers tayari, kuna vyakula atahitaji kuviepuka.
.
Hapana dada lorain sio ya moto wa kuungunza labda niyaite uvuguvugu.
Thank you, maana nilisikia pia kuwa inasaidia kupunguza tumbo! Sijui ni kweli au vipi nisaidieni.
Maji ya moto peke yake hayawezi kupunguza tumbo (belly/tummy)
Lorain, jifunze kutafuta information zaidi kujiridhisha, asikudanganye mtu.
Anzia hapa.
.
Asante sana ndugu, lakini hii sehemu ni check lakini inaonyesha ni lazima nilipie ndo niweze kupata hizo information. Kunayo namna yakuweza kupata hiyo program kama mtu anayo please.
Sehemu ipi hiyo?
.