ni kweli hawa jamaa ni kero tupu.Unalipa 32000 au hata 100,000,kwenda kurudi kj na unachelewa???nyie ndio wapuuzi wote 8,mshafanya hilo daladala.basi la mkoa lenyewe halisubiri abiria itakua ndege.nawapa sifa hao staff maana wangewaendekeza nyie itakuwa taabu mtataka hata kutumiwa gari nyumbani kuwachukua na buku 30 zenu nyambaf.
Unalipa 32000 au hata 100,000,kwenda kurudi kj na unachelewa???nyie ndio wapuuzi wote 8,mshafanya hilo daladala.basi la mkoa lenyewe halisubiri abiria itakua ndege.nawapa sifa hao staff maana wangewaendekeza nyie itakuwa taabu mtataka hata kutumiwa gari nyumbani kuwachukua na buku 30 zenu nyambaf.
Ndugu rudi kwenye vigezo na masharti kuzingatiwa kurasa za nyuma hapo yote uliyolalamika yameelezewa.pia si lazima upate tkt siku unayotaka ww kwani ni wengi wanabook hiyo ndege kutokana na bei chee.pia imagine ulipe 32,000 bado upewe chai na vitafunwa itawezekana kweli?na ndio tabu yenu.mnapenda sana kula,safari ya 1 hr unataka upewe chakula.ni kweli hawa jamaa ni kero tupu.
Nilifanya booking siku kumi kabla ya kusafiri kwenda Mwanza nikitarajia bei itakuwa hiyo shs 32,000 kama wanavotangaza.Cha ajabu eti nikaambiwa siti za bei hiyo zimekwisha ! nikashangaa ! siku kumi kabla ya safari eti siti zimekwisha ! Ikabidi nikate tiketi kwa shs 278,000 ! na wakati wa kusafiri kupimisha uzito wa begi wakati wa check in airport wanakudai shs 8,000 sawa na dola kama sita hivi ! na isitoshe ukitaka chai ndani ya ndege wakati wa safari unalipia !
ATCL wanakatisha tiketi kwenda Mwanza kwa shs.260,000 tu ! Begi lako wakati wakupima uzito halilipishwi tena na unapata chai au juice au kahawa na vitafunwa bure unapokuwa ndani ya ndege !
FASTJET WAACHE UTAPELI NA GHARAMA ZA KUSAFIRI NA NDEGE HIYO NI KUBWA UKILINGANISHA NA NDEGE NYINGINEZO !
NINGEWEZA NINGEWATANGAZIA WATANZANIA WOTE UTAPELI WA HAWA FAST JET !
Waache hizo,, watu tushachelewa qatar, ndege ya saa 7 tumefika airport saa 6 tulikuta wameshafunga sehem zao za check in na computer zimeshazimwa lakini walikuja wakawasha computer na waka print sticker zao za mabeg tukafanyiwa check in fasta as emergence na tukaingia as kama tulikuwa tunasubiriwa sisi as tulivyoingia tu ndo ndege ikafungwa na kuanza kuondoka..
Sembuse hao wa dakika 1,,, sizani kama kuna ndege inamtosa abiria kwa dakika 1... Na hata KLM nilishachelewa ORD na bado hawakufunga fasta tukafanyiwa check in na tukaingia...
Kila abiria wakimtosa kuchelewa si itakuwa balaa kwenye connections mfano you have almost 3 connections to final destinations so ukiikosa ndege ya kwanza transit zote zinaharibika as sio kila sehemu kuna daily flights.. Mfano ukiachwa na turkish may be in chicago inabid usubiri 2 days kupata connection ya turkish from instanbul to dar si balaa hilo na kama imejaa si wiki nzima inakula kwako upo airport tu...
Hao fast jet hata kama ni ku keep time wamezidi maana hata international airline hazipo systematic kiasi hicho
Sina uhakika kama maelezo unayosema yana ukweli kiasi hicho. mchanganuo wa hawa jamaa kwenye website yao naona uko wazi kabisa na vigezo vyao vinasomeka wazi kabisa. Asisa habari wao angeingia hapa na kutoa ufafanuzi nadahani ungemwelewa. kama website yao ilikuonyesha shs 32,000/=, uliprint hiyo taarifa yako ukaenda kukata tiketi kwa muda uliopangwa? Website yao inaonyesha kuwa huwezi kupata ndege ya siku hiyohiyo kwa shs 32,000/=. Bei itakuwa nyingine. Jielemishe zaidi kuhusu huduma yao badala ya kulalamika tu.Habari zenu wanajamvi,
Kuna baadhi ya mambo yananichanganya kuhusu hawa fastJet,
1.Bei zao wanazotutangazia hazina ukweli wowote na hazikaribiani na ukweli,
Mfano leo kwenye website yako wamatutangazia ndege yao ya kwanza kutoka Dar kwenda KIA ni tsh32,000, nimepiga simu wanasema ni Tsh107000
Sina uhakika kama maelezo unayosema yana ukweli kiasi hicho. mchanganuo wa hawa jamaa kwenye website yao naona uko wazi kabisa na vigezo vyao vinasomeka wazi kabisa. Asisa habari wao angeingia hapa na kutoa ufafanuzi nadahani ungemwelewa. kama website yao ilikuonyesha shs 32,000/=, uliprint hiyo taarifa yako ukaenda kukata tiketi kwa muda uliopangwa? Website yao inaonyesha kuwa huwezi kupata ndege ya siku hiyohiyo kwa shs 32,000/=. Bei itakuwa nyingine. Jielemishe zaidi kuhusu huduma yao badala ya kulalamika tu.
Wabongo ukiwachekea hawakawii kumwambia rubani asimame chalinze wanunue nazi za kwenda nazo moshi.
Tena watataka badala ya kutua kia, ndege iwe inashusha na kupakia njiapanda ya imo, kiboruroni nk.
japokuwa umeongea kwa kejeli ,unaonyesha husomi alama za nyakati huko unakotembea! airport delays kwa dunia ya leo sio kitu cha kawaida , most airlines wanaamini na ndio ukweli ,kuwa most ,if not all terrorist were the last to check in . ni kitu ambacho wanajitahidi sana kukifanya sasa hivi ni kuweka muda wa kutosha ,ili waweze kuwasoma abiria kabla hawajapanda ndege, wakiona una walakini wanakudismis , kwa wewe uliyetembea sana kama ulizoea last minute check in ,bila kujua ,ulikuwa unasafiri under severe constant security surveilance. kingetokea chochote chenye ladha ya ugaidi ,ungekuwa mtuhumiwa. siku nyingine ukienda nje kutembea , jaribu kusoma masharti ya airport na na tiketi yako, utagundua hawavumilii kabisa delays.
By SaidAlly

Wabongo ukiwachekea hawakawii kumwambia rubani asimame chalinze wanunue nazi za kwenda nazo moshi.

Tena watataka badala ya kutua kia, ndege iwe inashusha na kupakia njiapanda ya imo, kiboruroni nk.

wewe inaonekana uwezo wako wa kufikiri ndo umeishia hapo,jitahidi usafiri kwenye nchi zenye mwanga kidogo ubongo utapata mwanga

,delay kwenye airline yoyote ni kitu cha kawaida,wabongo wengi tumelakla sana,amkeni mtembee kidogo
Habari zenu wanajamvi,
Kuna baadhi ya mambo yananichanganya kuhusu hawa fastJet,
1.Bei zao wanazotutangazia hazina ukweli wowote na hazikaribiani na ukweli,
Mfano leo kwenye website yako wamatutangazia ndege yao ya kwanza kutoka Dar kwenda KIA ni tsh32,000 ,nimepiga simu wanasema ni Tsh107000=.
2.Ukichelewa hata dakika moja baada ya reporting time hawakujui,kwani wameshachukua chao,wanakunyima safari.Hii imemtokea jamaa yangu mmoja leo jioni,walikuwa zaidi ya abiria 8 lakini hawakuwasikiliza zaidi ya kuwapa majibu ya kukatisha tamaa na kejeli,
3.majibu yao kwa ujumla wanaonekana kama abiria wanaopanda hiyo ndege wanapanda bure,au ni kama msaada flani,hawamthamini abiria kabisa,
4.Watanzania wenzangu tunaofanya hapo fastjet na wateja ebu jaribuni kuipa thamani pesa yetu ilingane na huduma tunayopewa na tunayotoa kwa wateja,hatuhitaji msaada wenu,
Mwenye kero kama zangu tiririka hapa
Naungana na wewe,fanya booking online hutaibiwa chochote,bei zipo wazi na utajichagulia kwa unavyotaka wewe,nimesafiri na fastjet mwanza to dar na kurud mwanza kwa TZS 118000/- wakat kuna watu walilipa TZS mpaka 240000/- kwa same trip with the same plane/class...tumia website ufanye uamuzi as bei utaziona kabisa kama zinakufeva au la.Ushauri kwa wanaotaka kununua tiketi za fastjet. Fanya booking online, confirm booking , print out booking yako halafu nenda ofisi za fastjet tena nasisitiza nenda ofisi za fastjet na si vinginevyo. Utalipia kwa bei uliopata online. Ukienda kwa agent akupatie tiketi au akufanyie booking lazima akupe seat za bei za juu maana anajua kuwa hujui chochote. Kuna mchezo mchafu unafanywa na pw kuhujumu huduma za fastjet kupitia mawakala. Pw imewaahidi mawakala zawadi za tiketi za bure ili wawahakikishie kupata abiria kwa kuichafua jina la fastjet. Habari ndio hiyo.
Nimeandika kwa caps kuonyesha msisitizo.
Nini sababu kubwa hasa ya hilo?
Habari zenu wanajamvi,
Kuna baadhi ya mambo yananichanganya kuhusu hawa fastJet,
1.Bei zao wanazotutangazia hazina ukweli wowote na hazikaribiani na ukweli,
Mfano leo kwenye website yako wamatutangazia ndege yao ya kwanza kutoka Dar kwenda KIA ni tsh32,000 ,nimepiga simu wanasema ni Tsh107000=.
2.Ukichelewa hata dakika moja baada ya reporting time hawakujui,kwani wameshachukua chao,wanakunyima safari.Hii imemtokea jamaa yangu mmoja leo jioni,walikuwa zaidi ya abiria 8 lakini hawakuwasikiliza zaidi ya kuwapa majibu ya kukatisha tamaa na kejeli,
3.majibu yao kwa ujumla wanaonekana kama abiria wanaopanda hiyo ndege wanapanda bure,au ni kama msaada flani,hawamthamini abiria kabisa,
4.Watanzania wenzangu tunaofanya hapo fastjet na wateja ebu jaribuni kuipa thamani pesa yetu ilingane na huduma tunayopewa na tunayotoa kwa wateja,hatuhitaji msaada wenu,
Mwenye kero kama zangu tiririka hapa
Nawapongeza sana fastjet, kidogo watanzania tutaweza kujali muda...........
2.Ukichelewa hata dakika moja baada ya reporting time hawakujui,kwani wameshachukua chao,wanakunyima safari.Hii imemtokea jamaa yangu mmoja leo jioni,walikuwa zaidi ya abiria 8 lakini hawakuwasikiliza zaidi ya kuwapa majibu ya kukatisha tamaa na kejeli,

Ni kweli mashirika makubwa ya ndege husubiri kama ukiwa na udhuru si lazima uwe boss, hata agent anaweza kusaidia, nilishawahi kusubiriwa na Gulfair pale Istanbul kwa dk 25 nilipoingia tu pilot akatangaza na kuomba radhi abiria milango ikafungwa tukasafiri.
Naungana na wewe,fanya booking online hutaibiwa chochote,bei zipo wazi na utajichagulia kwa unavyotaka wewe,nimesafiri na fastjet mwanza to dar na kurud mwanza kwa TZS 118000/- wakat kuna watu walilipa TZS mpaka 240000/- kwa same trip with the same plane/class...tumia website ufanye uamuzi as bei utaziona kabisa kama zinakufeva au la.