Kwa waliotembea duniani kote watakuambia nauli za ndege hata siku moja haziwi sawa kwa abiria wote, hii ni kwasababu jinsi demand inavyoongeza na mda wa safari unavyokaribia nauli hupanda. Hivyo kwa anayekata ticket yake mapema anapata nauli nafuu na wale wa zima moto kama watanzania wengi tulivyo lazima ulipe premium price. Lakini hata wakicharge nauli ya juu wakati wameshajiestablish sokoni sio dhambi. Wale wajuzi wa mikakati ya masoko wanajua mikakati ya Market penetration vs Market skimming na mikakati hii inatumika wakati gani. They have just moved from penetration to skimming. Nani kakwambia wamekuja kutoa msaada wa kuwasafirisha? ATC yenu yenyewe ilishindwa kuwapa msaada, halafu ndo mtegemee investor wa nje aje awape msaada? They mean business and they are doing it professionally!