adrenaline
JF-Expert Member
- Jun 17, 2015
- 4,590
- 7,769
Umetisha mzigo wa maana sana huo..Hahaha nimeicheki jana hii ni bonge la muvi..
Contract killers mama na mtoto!
Mama baada ya kufanya mauaji sana akawa most wanted na makundi ya wakora ikabidi apotee(go dark)
Huku akimwacha mwanae SAMI akichukuliwa na kundi mamaake alokuwa anafanyia kazi ya kuua!
Mtoto baada ya kuwa well trained akawa anapewa mission zile zile kama za mamaake! Za kuua.....
Utamu ulianzia pale sami alipofanya mauaji kimakosa na akamuua mtoto wa tycoon gaidi mbaya kabisa....
Huku sami akipewa tenda ingine ya kwenda kumuua jamaa alieiba hela za kampuni yao na kuzirudisha..
Baada kumpiga yule mwizi risasi mwizi akamwambia sami kwamba zile fedha aliiba ili amkomboe mwanae ambae alitekwa hivyo anaomba amsaidie kumuokoa mwanae!!
Hapo ndio muvi inanoga zaidi..
Sami katumwa aue kisha arudishe ela za kampuni yeye akazipeleka kwa magaidi ili amkomboe mtoto wa yule mwizi!!
Ikabidi kampuni itume wakora wengine wamuue sami kwa kukiuka au kukengeuka na kuvunja uaminifu..
Hapo hapo kampuni ikampigia simu yule tycoon alieliwa mtoto wake a kupewa location ya sami ili wammalize...
Kwahiyo hapo sami inabidi apambane na wakora waliemteka mtoto hapohapo watu waliotumwa na kampuni yake vilevile yule tycoon ambae mwanae aliuwawa na sami....
Ni hatari na nusu hapo..
Hii muvi naipa rate 7/8
Umetisha mzigo wa maana sana huo..
Mzigo mwingine ulionifanya nicheke sana ni huu hitman's wife bodyguard
So ni kama hobbs and shaw?Mkuu hii tumepigwaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tuachane kwanza na movie,hii ndio tv sasa,safi sana mkuu...Ndo naanza nayo hapa nioneView attachment 1873219
Kwa telegram unafanyaje mkuu,naomba hayo maujuziAu kama una telegram ndio kazi rahisi sana
Unaisearch jina lake utaipata then unaishushaKwa telegram unafanyaje mkuu,naomba hayo maujuzi
iko vizuri,yaani jamaa wanakulazimisha kukudanganya mpaka unaingia line๐๐๐,ila nilicheka zaidi mbongo mwenzetu Tyrese alivoanza kujihisi yeye si binadamu wa kawaida maana karushiwa risasi nyingi na hata moja haijampata ๐๐๐Tayari movie ya FF9 imeachiwa clean version, wazee wa kudownload kazi kwenu! Kama ushaoiona njoo utupe maoni yako, tumepigwa au laa?
View attachment 1872922
na kwa ule mmalizio inaonekana kuna muendelezo,maana Cipher hajafa na kachefukwa halafu mwishoni kabosa kuna jamaa aliingia na gari pale wakati wanakula unaweza kukuta ni mdogo wake shawwaache kutengeneza hizi movies, tumechoka.
go to YTSWadau nipeni site naipataje free
Sisi wazee wa kitonga[emoji23]
Nimeangalia movie nyingi naona siku izi movie zimeisha story wanachofanya ni ku change character tuu ila content za movie aisee ni hakuna kitu kabisa , ebu nambie movie gani ni mpya kuanzia kwenye story ?niishie kusema production ya movie kwenye story imeeshia ukomo ndio maana saa hii movie moja ma star kumi
Ikitoka army of thieves mnistueGun Powder Milkshake hahahaha nangalia zangu
Ikitoka army of thieves unistueNlishatoaga review mwanzo pale hamna kitu, Probably watu waliniona hater kwa vile wengi walikuwa hawajaiangalia
Movie Reviews
Movie Reviews
Alert!!!!!! Mortal Combat is not a good movie to watch. Cracked up story... A lot of graphics without any connected action story. if you want a movie to waste your buddle go for it........ Let neither opening scene nor you tube trailer foul youwww.jamiiforums.com