Movie Reviews

Alert!!!!!!
Mortal Combat is not a good movie to watch.
Cracked up story...
A lot of graphics without any connected action story.
if you want a movie to waste your buddle go for it........
Let neither opening scene nor you tube trailer foul you

What are you talking about, Mk was amazing let me break it to you... when it comes tu Mk people don’t give a flying f**ck about the story watu tunaenda pale kuangalia crazy actions Fatalities & brutality kuhusu story tushaijuaga sku zote Bi han (sub-zeo) atenda kuua familia ya Hanzo hasashi(scorpion) and bla bla... game limeeleza.. story haijalishi kwenye MK watu wanataka waone Graphics za zile violence
 
Wrath of A man is good movie to watch.
Story is good and connected....however you should be keen in understanding the back and forth connection of the story.
Agreed to both!
 
What are you talking about, Mk was amazing let me break it to you... when it comes tu Mk people don’t give a flying f**ck about the story watu tunaenda pale kuangalia crazy actions Fatalities & brutality kuhusu story tushaijuaga sku zote Bi han (sub-zeo) atenda kuua familia ya Hanzo hasashi(scorpion) and bla bla... game limeeleza.. story haijalishi kwenye MK watu wanataka waone Graphics za zile violence
Graphics zilizotumika mle hazina hadhi ya hiyo studio iliyoitengeneza! Even hizo violence kwa mimi ni baadhi tu ndo nilizikubali....but tofautiana so yeah🤷🏽‍♂️
 
Graphics zilizotumika mle hazina hadhi ya hiyo studio iliyoitengeneza! Even hizo violence kwa mimi ni baadhi tu ndo nilizikubali....but tofautiana so yeah

Right..Nmekusoma mkuu kwamba it wasn’t bad sema ulitegemea makubwa si ndio halafu wao wakadeliver vya kawaida
Well sometimes mambo yako hivyo
 
What are you talking about, Mk was amazing let me break it to you... when it comes tu Mk people don’t give a flying f**ck about the story watu tunaenda pale kuangalia crazy actions Fatalities & brutality kuhusu story tushaijuaga sku zote Bi han (sub-zeo) atenda kuua familia ya Hanzo hasashi(scorpion) and bla bla... game limeeleza.. story haijalishi kwenye MK watu wanataka waone Graphics za zile violence
people differ....
some are graphic fanatics others are deep story fanatics....
to me graphics is a horse sheet if a story is a cracked up.......been watching mortal combat (Movie) since child hood there were no such kinds of graphics you are talking about but we loved the story of the fighters.....trust me this one is not good
 
people differ....
some are graphic fanatics others are deep story fanatics....
to me graphics is a horse sheet if a story is a cracked up.......been watching mortal combat (Movie) since child hood there were no such kinds of graphics you are talking about but we loved the story of the fighters.....trust me this one is a not good

With all due respect i disagree Mkuu hii Mk at-least was okay haikuwa nzuri sanaa wala Mbaya sana kama ile ya 90s.

Binafsi nlivyoiona mara ya kwanza nlifurahi kiasi japo ilini disappoint sikuona watu kama John cage wala zile tournaments nlizozitegemea kibaya wameiweka imekuwa kama setup ya coming up MK movies. Ila upo sahihi storywise hamna kitu maana character walioileta ile movie to life binafsi nliona Subzero, Kano na hata Kabal, ila Raiden kazingua I expected more
 
What are you talking about, Mk was amazing let me break it to you... when it comes tu Mk people don’t give a flying f**ck about the story watu tunaenda pale kuangalia crazy actions Fatalities & brutality kuhusu story tushaijuaga sku zote Bi han (sub-zeo) atenda kuua familia ya Hanzo hasashi(scorpion) and bla bla... game limeeleza.. story haijalishi kwenye MK watu wanataka waone Graphics za zile violence
Ushacheza MK12 mkuu?
 
Hitman Wife’s Bodyguard
iko worth watching.. ni movie nzuri inafurahisha it’s fun to watch hasa hasa kama ni shabiki wa punch lines, actions zipo ila za kawaida nothing so special ila it is a real deal.. kuna Ryan Reynolds na Samuel LJ hiyo ni gud sign ila binafsi nimeona ya kwanza Kali kuliko hii
Nimeipa 7/10
IMG_5908.jpg
 
Fast and Furious 9 dah imejitahid lakin I expected more baadhi ya punchlines zao nlkuwa naweza kuzimalizia japo movie ndio naiona for the first time, plot twist ilikuwa ionaonekana haijastua, haikuwa intense kama zile nyingine binafsi Fast 7, & 6 ndio naziona ni .

Wamegive away zike scenes kali zote kwenye trailer ili ku hype watu ndani hamna maajabu.
Ila ni Worth watching japo huo ni mtazamo wangu sio facts, na rate 4.5/10
 
Hizi movie za Sci- Fiction upande wangu sijawahi zipenda, DC sijui Marvel aaaaaaah sasa cha ajabu zinauza huko balaa hasa kwenye Cinema. Pia ni ndefu (duration)
wewe upo kama mimi, kiukweli hizi scifi movies hazinivutii kabisa huwa naona kama naangalia uongo wa live live yani daaah
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom