Fashion nangai

Aiseeee! Kaazi kweli kweli.

Hii ndio kwamba wameona wanawake hatupendezi nazo huko majukwaani au?
 
Nna wasiwasi na marinda yake..........
 
Watu kama hawa waliona wanawake wanafaidi kusukumiwa mishedede,wakawa na wivu mwisho wa siku na wao wakasukumiwa tena wakaenda mbali zaidi wanataka haki zao nao watambulike.

Sasa hivi wameona waanze kuvaa magauni mubashara kabisa....

Na hapo alipo I bet kavaa bikin na shanga....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…