Fashion na mitindo ya mjini

Hii si fashion, huyu ni msanii na anafanya hivi ili kupata attention, hatimaye na bishara yake inunuliwe au kuuzika. Mbona inaeleweka tu ila kumweka na kusema eti ni fashion, that's not true. Ila pamoja na usanii wake bado anaonekana kama mwana Chalinze kama asemavyo mkuu Twilumba
 
Last edited by a moderator:
Mode mmefanyani mbona sioni picha natumia BB
 
Mtu akivaa mlege , mara ohh hana adabu! Akipandisha nayo ni shida?

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Ni mbunifuuuu

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
si kila avumaye baharini papa! na wengine wamo.
 
Niliwahi kuona Diwani mmoja wa huko Mtera wa magamba kavaa hivyo!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…