Poleni SANA, kwa kumsema hapa na kupoteza muda wenu kwenye akaunti zenu hamna hela zilizoingia, ila yeye naamini wiki hii tu ameingiza mamilioni, na zaidi anapata madili makubwa ya kua judge kwenye East African got talent, it is not the matter of body or beauty but brains, kama brain hamna kitu basi wewe hauna manufaa kuishi, hao wenye matako makubwa na uzuri wa kuchorwa ambao. Hawajui hata kusema neno hi! au kusalimia salamu ya asubuhi kwa kiingereza, wao wana nini cha ziada zaidi maumbo yao ya kutengeneza kwa mchina?
nikiona hako ka avatar kako mate ya udenda yanalowanisha tai yangu nadhifu..Nijd pm tumalize mchezo?Ni utandauchi sio utandawazi hapo.
namfananishaga na Sarah banks yule mcheza porno.Shikamoni wakubwa, wadogo malhaba!!
Huu ndyo mwonekano mpya wa mwanamuziki Vanessa Mdee. Toa koment yako juu ya uvaaji wake, je ni utandawazi au ni ushamba wangu? View attachment 1210840
picha na mwonekano ni pande mbili kwenye shilingi moja
anasema kuwa anaumwaYeye mwenyewe anasemaje kwani?
Hata sasa nipo uchiMbona wewe hutembei uchi sasa?
Tangu aachane na Jux , the lady is in a deep stressShikamoni wakubwa, wadogo malhaba!!
Huu ndyo mwonekano mpya wa mwanamuziki Vanessa Mdee. Toa koment yako juu ya uvaaji wake, je ni utandawazi au ni ushamba wangu? View attachment 1210840
The same to me, kama demu hana tunyama nyama wala hata simuwazi naona kama nimekaa na dume mwenzangu.Maoni si mabaya ila umetoa dharau si vyema,mi demu asie na msambwanda naweza lala nae uchi hadi asubuhi tukiongelea stori za fundi maiko na mabaharia ,hii haimaanishi wembamba sio wazuri au hawavutii ni hawanivutii mimi na nawaheshimu wengi shemeji zangu na marafiki wa kufaana ..kindly respect them
Mchezo wa nn??nikiona hako ka avatar kako mate ya udenda yanalowanisha tai yangu nadhifu..Nijd pm tumalize mchezo?
tuma acc no ya bank nikamilishe muamalaMchezo wa nn??
asinge kanyaga kwangu tena na ningemwambia mimi baba yako sikupaswa kuona uchi wako.Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Akisena Akiwa Mbeya
Hivi Yule Aliyekumbatiwa Angekuwa Binti Yangu
Ningewazaba Vibao Wote Wawili, Bila Shaka Huyo Kama Ni Binti Yako.........
Apelekwe panapohusu tibaanasema kuwa anaumwa
dah kudadake, subiri waliozaliwa tandale wajeAlizaliwa ufaransa kakulia kule sioni cha ajabu.
Nimependa 😘😘