Fashion coner!!!!! Ramadhan dress codes (special kwa wadada)

lara 1

JF-Expert Member
Jun 10, 2012
15,700
29,111
Hi Wadada

Mwezi mtukufu huo waja, leo nimeona nishare nanyi baadhi ya designs kutoka huko Dubai na Mascat ili mpate idea wakati mkijiandaa na mwezi Mtukufu.

Kama umevutiwa kupata mambo zaidi zama www.tanzaniastylers.blogspot.com

Kama hujavutiwa niwie radhi na ukemee kimya kimya usinitie vishawishi vya kutukana.






muslim-girls-hijab-fashion-2012-9.jpg
 
Back
Top Bottom