Fasheni ya Mwendokasi.

Fasheni ya Mwendokasi.

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
53,092
Reaction score
53,568
wp_ss_20160910_0004.png
 
Huyo dada atakuwa kavaa chupi transparent. .... kama hajavaa basi hicho kipande cha nguo cha katikati kimegundishwa na vuzi za hapo kati kisicheze.....

Akili za wanaume wote waliokuwepo hapo wanatamani utokee upepo ufunue hicho kipande cha kati kati ili waone kilichofunikwa.

Ila huyo dada nj mrembo na ana shape nzuri.... anaonekana ni mdada wa Brazil huyu wenyewe wanasema Latin America.

Kasie.
 
Unaweza kuvaa kama huyo mrembo hadharani?
 
Naweza ila itategemea na hadhira au nnapoenda ni wapi.... nitakuwa huru bila woga wala wasiwasi iwapo mahali hapo itakuwa ni executive yaani hata wanaume wataokuwa hapo ni wastaarabu yaani watakuwa wanakula kwa macho tuu sio kunishika au kunishangaa kama nimejinyea.
Pia nitakuwa comfortable nikiwa nimevaa hivo niko na mwanaume wa nguvu ambae naye atakuwa hachezi mbali nami maana atakuwa anapandisha nyeege baada ya hiyo shughuli akajilie vyake na asiwe anaona aibu kuongozana nami....

Hiyo naivaa kabisaa au mwenye kichen party zetu kina dada.

Kasie.
 
Huyo dada atakuwa kavaa chupi transparent. .... kama hajavaa basi hicho kipande cha nguo cha katikati kimegundishwa na vuzi za hapo kati kisicheze.....

Akili za wanaume wote waliokuwepo hapo wanatamani utokee upepo ufunue hicho kipande cha kati kati ili waone kilichofunikwa.

Ila huyo dada nj mrembo na ana shape nzuri.... anaonekana ni mdada wa Brazil huyu wenyewe wanasema Latin America.

Kasie.
Kasie hujaleta mrejesho.. Ulimalizana vipi na kazin wako? Ulimpa?
 
Naweza ila itategemea na hadhira au nnapoenda ni wapi.... nitakuwa huru bila woga wala wasiwasi iwapo mahali hapo itakuwa ni executive yaani hata wanaume wataokuwa hapo ni wastaarabu yaani watakuwa wanakula kwa macho tuu sio kunishika au kunishangaa kama nimejinyea.
Pia nitakuwa comfortable nikiwa nimevaa hivo niko na mwanaume wa nguvu ambae naye atakuwa hachezi mbali nami maana atakuwa anapandisha nyeege baada ya hiyo shughuli akajilie vyake na asiwe anaona aibu kuongozana nami....

Hiyo naivaa kabisaa au mwenye kichen party zetu kina dada.

Kasie.

Hao hao executive ndo wahuni haswa.
 
Hao hao executive ndo wahuni haswa.

Uhuni wao uko qualified yaani umeenda shule .... huo naustahimili...sio sawa na ule uhuni wa kupigwa miruzi au kuitwa kama nyau au kushikwa shikwa...... huo nawaachia watoto....

Kasie.
 
Wanawake akili zao ni attention tu

Sio akili ni asili.....kabla hata hajafanya jambo la kuonesha anataka attention... ukimtizama utaona amekupa attention kumbe waalaah...hata akivaa dera na mtandio bila mekapu na chini kavaa makobazi bado wewe utakuwa attention kumtazama. .... iko hivo...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom