Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 8,319
- 16,487
niliposoma 'nyama tunayowekaga katikati ya'
kidogo niseme astaghafirulahi
Nasikia limbwata huwa inawekwa sehemu...sehemu lol
Kwenye baadhi ya super markets unaweza kupata ambayo kazi yako ni kutia viungo uvitakavyo na kuichoma ila watakulangua. Hiyo ya kutengeneza mwenyewe itakuwa bomba sana, rudi hapa utupe feedback.
Waalayka salaam....
Ahahha unichekesha eti hutaki kubunwa mahela yako....lol
Haya twende kazi
Kwa kutaarisha nyama ya burger...
Mahitaji
1)Nyama ya kusaga...
2)Mayai
3)Chumvi kiasi
4)masala upendayo kuweka katika nyama..
5)pilipili manga
6)kitunguu saumu kidogo...
7)mafuta ya kupikia
Namna ya kutaarishaa..
1)weka nyama kwenye bakuli
2)tia chumvi,pilipili manga,saumu na masala upendayo chanaganya vizuri...
3)wacha nyama ikolee viungo kwa mda....
4)vunja mayai...toa ute wa mayai,hapa unahitaji kiini tu..
5)mimina kwenye chama na changanya vizuri...
6)tengeza maduara ukubwa kiasi ila yawe flat..(yasiwe manene ili nyama iwive vizuri ndani)
7)weka pan yako jikoni weka mafuta kidogo sana then aanza kukàanga nyama zako..(weka moto speed kiasi ili ziwive vizuri na taratibu)...geuza upande mwengine wa nyama na kaanga....geuza geuza hadi unahakikisha nyama imewiva vizuri sana...
Natamani ningekuoa wewe jaman maana unaoneka upo vizuri kila idara

Hahahahaahha yaani inapendeza kuona jinsi gani watu wajua kusave money ila wakaenjoy kama kawaida....
Mie kwa kusave ni balaa nahisi mie ni bonge la bahili lol....
Kwenye baadhi ya super markets unaweza kupata ambayo kazi yako ni kutia viungo uvitakavyo na kuichoma ila watakulangua. Hiyo ya kutengeneza mwenyewe itakuwa bomba sana, rudi hapa utupe feedback.
niliposoma 'nyama tunayowekaga katikati ya'
kidogo niseme astaghafirulahi
Unaona sasa faida ya kuuliza, sikuwahi kuwaza hizi.
Asante sana, will try tomorrow ipike In sha Allah mana hamna job.
farhina unafkiri tukifundishana mapishi kama haya tukayajua hao ma chef wa cafe watatupata tenaa?
Inahuuuu...
Haihusu kitu kutumia shilingi 30,000 kununua kitu ambacho unaweza kukipata kwa shilingi 18,000 tena kizuri zaidi, shilingi 12,000 kibindoni.
Hahhahahha lol...hilo neno kibindoni limenchekesha sana.....
Namkumbuka marehem bibi wa mama yangu sijui ndio mama mkuu wangu au kiswahili anaitwaje..basi alikua anapesa zake anafunga kwenye kanga akikutuma anakuambiwa hii bei gani shilingi mbili? Lol ndio mia mbili hiyo...
Unafkiri huku kwetu znz kuna s.market za ivo basi? Si kama Dar kwenu huko, s.market kila kitu kipo kasoro roho tu. Lol
Ntajaribu hio recipe ya farhina then ntakuja kuwajuza zimetokaje.
Mimi tangia hapo napenda sana kupika so hujifunza haraka.
Nimeolewa tayari...
Samahani