Farasiiii

Farasiiii

Red Scorpion

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2012
Posts
5,736
Reaction score
4,254
Jamaa 1 alikuwa amekaa zake sebuleni anasoma gazet, ghafla akapigwa kwa frampen uson na mkewe!

JAMAA: VP tena darling kulikon?

MKE: kwenye surual yako wakat najiandaa kuifua nikakuta kikaratas kimeandikwa "JENNY", unaweza ukanieleza huyo JENNY ni nani kwako?

JAMAA: aaah! wik ilopita nlikuwa kweny mashndano ya farasi, na Jenny ndo jina alobandikwa faras wangu yan faras wangu aliitwa JENNY!

MKE: sorry darling!

Siku ilofuata jamaa akiwa amekaa kochin huku akisoma gazet, alishtukia tena frampen ya uso "kwaang!"

JAMAA: Uwiiiiiii! jaman darling kulikon tena?

MKE: faras wako kapiga cm!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom