Kambaku JF-Expert Member Joined Nov 12, 2011 Posts 8,781 Reaction score 32,724 Jul 29, 2012 #1 Waungwana swalama? Wale wa kufunga, poleni na hongereni sana. Nina shida ya kununua farasi na kumfuga kwa Dar es salaam, ni wapi naweza pata mbegu nzuri ya farasi, kwa yoyote mwenye idea ya mahali au na bei tafadhali nijulishe.
Waungwana swalama? Wale wa kufunga, poleni na hongereni sana. Nina shida ya kununua farasi na kumfuga kwa Dar es salaam, ni wapi naweza pata mbegu nzuri ya farasi, kwa yoyote mwenye idea ya mahali au na bei tafadhali nijulishe.
SYENDEKE Senior Member Joined Jul 18, 2011 Posts 169 Reaction score 26 Jul 30, 2012 #2 farasi wanapatikana national ranch (narco) 4more details just nitafute
The Listener JF-Expert Member Joined Feb 5, 2012 Posts 993 Reaction score 217 Jul 30, 2012 #3 Chuo cha Polisi Moshi pia wapo ila sina uhakika kama wanauzwa ua la. Cheki na yeyote maeneo hayo akujuze
Chuo cha Polisi Moshi pia wapo ila sina uhakika kama wanauzwa ua la. Cheki na yeyote maeneo hayo akujuze
Kambaku JF-Expert Member Joined Nov 12, 2011 Posts 8,781 Reaction score 32,724 Jul 30, 2012 Thread starter #4 The Listener said: Chuo cha Polisi Moshi pia wapo ila sina uhakika kama wanauzwa ua la. Cheki na yeyote maeneo hayo akujuze Click to expand... Thanks mate.....
The Listener said: Chuo cha Polisi Moshi pia wapo ila sina uhakika kama wanauzwa ua la. Cheki na yeyote maeneo hayo akujuze Click to expand... Thanks mate.....