Faraja

Faraja

shamali

Senior Member
Joined
Jul 6, 2013
Posts
186
Reaction score
56
Moyo wangu umejaa jamani, natka maneno mazur mazuri tu ya kunifariji. Mwenye kipaji cha kufariji naomba faraja wapendwa. Ndoa hizi tunazitamani ila tukishaingia mambo yanakua mseto.
 
Subiri wazoefu waje. Mimi ndio kwanza nina miaka 10 uzoefu bado huku kwenye ndoa experience inatakiwa ya miaka 15 kwenda mbele..
 
Moyo wangu umejaa jamani, natka maneno mazur mazuri tu ya kunifariji. Mwenye kipaji cha kufariji naomba faraja wapendwa. Ndoa hizi tunazitamani ila tukishaingia mambo yanakua mseto.

wengine hawana maneno ya faraja bila kuonana ana kwa ana...LoL
 
1. kofi la mpenzi haliumi bali linaonyesha upendo,
2. Tusi la mpenzi ni kivutio masikioni mwako
3. Mpenzi wako akichelewa kurudi home jua yuko mihangaikoni kutafuta mkate wa familia
4. Mpenzio akiwa baa jua afanya mipango ya utafutaji eti.

Sasa mwenza wako kafanya lipi kati ya hayo linalokupelekea ww kulalamika?
 
Moyo wangu umejaa jamani, natka maneno mazur mazuri tu ya kunifariji. Mwenye kipaji cha kufariji naomba faraja wapendwa. Ndoa hizi tunazitamani ila tukishaingia mambo yanakua mseto.

Naomba nijue jinsia yako kwanza, nisije kutoa faraja kwa ndume nyenzagu...:becky:
 
Moyo wangu umejaa jamani, natka maneno mazur mazuri tu ya kunifariji. Mwenye kipaji cha kufariji naomba faraja wapendwa. Ndoa hizi tunazitamani ila tukishaingia mambo yanakua mseto.
Mpendwa habari yako; Mmh Shamali kwa kiwetu ni kaskazini(north)
Mkuu pole sana na Moyo wako ! Tulia kidogo nikupe ujumbe muruwa na maridhia;- It's very easy to defeat someone, but it is very hard to win someone !!
ShamaliEee :- ukikarimiwa kuwa jirani wangu ! basi kuwa jirani mwema ! Fursa ni kama uchipuko wa Jua asubuhi, Ukingojea sana yatakupita mambo yote !!
mwenzangu inuka uchangamkie siku yako na Dunia itakuchangamkia..... siku njema.
Best of luck.
 
1. kofi la mpenzi haliumi bali linaonyesha upendo,
2. Tusi la mpenzi ni kivutio masikioni mwako
3. Mpenzi wako akichelewa kurudi home jua yuko mihangaikoni kutafuta mkate wa familia
4. Mpenzio akiwa baa jua afanya mipango ya utafutaji eti.

Sasa mwenza wako kafanya lipi kati ya hayo linalokupelekea ww kulalamika?

Basi kwa hayo uloyadadavua hapo, mi nimemsamehe bure tu mwandani wangu. Asante kwa faraja, imeupoza moyo wangu
 
Kwani Kaishiwa Money??Siyo Hb??Cant You Be Made Blind By His Wealth??Kilichofanya Mkawa Together Kimepotea?Anyway...!!
 
Back
Top Bottom