JUAN MANUEL
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 8,324
- 17,911
kabla ya yote,ningekushauri kwanza uwe na uhakika kama hiyo ofisi yako ilikuwa inakuingizia pension,if yes-inabidi uwe na member-id,km huijui nenda tawi lolote la ppf colazima m/makuu uwatajie jina lako na kampuni uliyokuwa unafania kazi wao wataambia namba yako ya uanachama.
Baada ya hapo sasa unaweza ukawaeleza situation yako
Nenda mwenyewe mfuko huskies ambao Macao yaks yalikuwa yanapelekwa then wapiti jina na seems uliokuwa unafanya kazi wanakupa procedeur zone na heal zako utapata
kwani anaye takiwa kuhakikisha pesa inaingia kwenye account yako ppf ni nani mwanachama au wafanyakazi wa mfuko wa jamii husika?[/QUO
ww ndio mhusika mkuu,co unatakiwa uhakikishe hela yako inaingia,co km hawakuingizii,ukae tu hvhv wakati ni haki yako..
PPF ni wasumbufu sijapata kuona,,, ila kama una uhakika michango yako ilienda kwao wacheki ofisin kwao na wanapenda sana uwe na receipt no,,, ila jiandae kwa usumbufu ulio bobea
Nikitaka kuhama huu mfuko inawezekana?!Nachukua hatua gani?
Yani mimi siwapendi hawa basi tu.Huwezi kuhama.... Kama umeajiriwa serikalin
-FAO LA KUJITOA KULIPWA NI SASA LIMEKUWA KITENDAWILI KWANGU.
-NIMEFUATA TARATIBU ZOTE NA DOCUMENTs ZOTE IKIWAMO BARUA YA KUACHA KAZI NA FOMU ZA KUJITOA, NILIZIWASILISHA PPF MAKAO MAKUU, WALINIAMBIA NDANI YA WIKI MBILI ILA SASA MIEZI MIWILI IMEPITA.
NAOMBA KUJUA HUWA INACHUKUA MUDA GANI KULIPWA??