Fao la kujitoa na kukosa kazi..tucta wamepuuza?

Turudishieni hili fao la kujitoa ili nasi vijana tupate kujikwamua kiuchumi mbona mwatufanya watumwa makazini kazi zenyewe masharti kibao, majungu, security ya kubaki kazini ni ndogo, manyanyaso ya kila aina kutoka kwa wahindi weusi(watanzania wenzetu).

Kutokuwepo kwa FAO LA KUJITOA ni kufanya wafanyakazi tuishi kitumwa.

Viongozi wa Upinzani wakati mnafanya suala la kikotoo naomba hili suala nalo lijaridiliwe ama toone muongozo wa nini cha kufanya ata kama barabarani tutajumuika kwa pamoja.
 
Naunga mkono hoja, fao la kujitoa lilisaidia sana kama njia ya kujitafutia mtaji hasa kwa wanyonge, unaajiriwa kwa muda unaacha kazi unajiajiri. BUNGE na TUCTA tusaidieni jamani, si wote tunapenda kufanya kazi mpaka ku-kusitaafu, ajira zingine kama utumwa.
NO FUTURE KWA MASIKINI
 
Turudishieni hili fao la kujitoa ili nasi vijana tupate kujikwamua kiuchumi mbona mwatufanya watumwa makazini kazi zenyewe masharti kibao, majungu, security ya kubaki kazini ni ndogo, manyanyaso ya kila aina kutoka kwa wahindi weusi(watanzania wenzetu).

Kutokuwepo kwa FAO LA KUJITOA ni kufanya wafanyakazi tuishi kitumwa.

Viongozi wa Upinzani wakati mnafanya suala la kikotoo naomba hili suala nalo lijaridiliwe ama toone muongozo wa nini cha kufanya ata kama barabarani tutajumuika kwa pamoja.
Ooh jamani, wanyonge
 
Back
Top Bottom