NingaR Nimekupata barabara..,unajua problem ni kuwa huwa nimezoea S udv=uv-S vdu so ulipoanza na S vdu=uv-S udv uliniuza kidogo....,nisharejea sasa. Approach nzuri. Level gani ya elimu umefikia hadi sasa. Umenifurahisha.

kwenye makampuni ya simu kama voda,tigo n.k,Makampuni ya mawasiliano ya internet kama vile raha.com, pia kwenye maofisi mbalimbali katika vitengo vya mawasiliano
daaah wakuu mimi nmemalza mwaka huu tu PCM FORM 6,ila hvyo vitu nshaanza kusahau,cha msingi ni maisha tu nawaza ,hyo hesabu hainipatii hela,USE THIS FORMULA
STUDYHARD-GET GOOD GRADES-ENGAGE IN BUSINESS-BECOME RICH