Fanya uchaguzi sahihi sasa

Bahati mbaya sijagusa zote mbili. Ila fegy nimeuza sana pale Minaki @ Dabanga Camp. Wakati huo nanunua patiki Kisarawe kwa 90/- na nauza moja kila siku na kupata 120/-. 30/- kwa siku zilikuwa nyingi sana. Maisha yalikuwa Mswano!

Bazazi!
 
Hata watu waseme kitu gani. Chaguo sahihi[emoji116][emoji116][emoji116]


Wapi kiberiti nikayatekenye mabetrii hapa akili ikae sawa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
 

Attachments

  • tapatalk_1566032570433.jpeg
    20.3 KB · Views: 32
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna nn nyuma ya pazia juu ya post zako kuhusu hii Dawa.... Mshana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…