Fanya simu yako ya viwa ikae chaji muda mrefu

Singida ndio home

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
3,188
Reaction score
3,379
Hizi simuu zimekuwa zikilalamikiwa na wengi kwamba hazikai chaji na nimethibitisha hili kwenye simu ya viwa max 5 kukweli the battery life is poor, fuata hizi hatua uifanye viwa yako ikae hadi siku nzima...

1.download hii application ili uweze kuroot simu ShareMobile - download KingRoot 4 1 0 249 release nolog 201505211812 105241 apk
2. fungua application (hakikisha una bundle na internet ipo on)
3.fuata hizi hatua (ikikataa minya try again hadi tiki ije)

4.nenda play store search titanium backup

ingia option ya backup/.restore na unistall hizi apps
1 -video player --- itabidi uireplace na mx player (ipo playstore)
2-Gallery ---- itabidi uireplace na quickpic (ipo playstore)
----pia itabidi uingize camera 360 maana camera nayo itafutika
3-facebook
4-twitter
5-wechat
6 -hangouts
7-gmail
8 -maps by google

DONE DONE DONE
 

duuuuhhh... naogopaaaaa
 

Jamani mbona naambiwa ku-root simu siyo vizuri? Eti waweza kuiharibu kabisa. Mwasemaje magwiji wa simu?
Cc Chief-Mkwawa
 

Yaani umenichekesha sana. Duh yaani upo tofauti kabisa na kichwa cha habari.
 
Hiv ukawa nan anagombea URAISI?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…