D Metakelfin
JF-Expert Member
- Mar 23, 2017
- 3,728
- 4,178
Hilo nalo neno limfikie!ukiandika, andika vya muhimu tu ili kusevu chaji ya simu.
Kama ukitoka nyumbani kwako kwenda kituo kikuu cha bus unatumia bodaboda au noah, amka asubuhi sana kisha tembea kwa miguu kufidia muda na gharama za nauliMkuu, yaani katika list yako, hakuna hata moja ambalo linamgusa mtu mwenye maisha ya chini..
Anyway, wafanyakazi na wenye magari wamekusikia
Hilo ndiyo jambo napambana nalo kilasiku, ni vipi nitakavyo maintain my lifestyle huku mambo mengine yakiendelea kama ninavyo plan yaweKwanini ubane matumizi mkuu? Sera ya kubana matumizi iwe ni kwa mtu au nchi tafsiri yake ni moja tu mtu huyo au nchi iyo ilikuwa limbukeni ya matumizi na kwamba ilielekeza pesa zake kwny mambo ya kiuasherati.
Being frugal in busines n life z good lakini isifikie hatua ya 'kujinyima'. Kama unapenda kula vizuri,kutembelea mkoko mzuri,kuvaa vizuri au spending on lavish vacations hizo sio anasa ni kujipenda na kuthamini maisha
Unachotakiwa kufanya ni kuumiza kichwa tu how u will maintain yo lifestyle, n this means uongeze creativenes by awakening yo geniusness kubuni other sourcs v income that will keep bringing money in yo pocket.
One v my busines mentors hupenda kusema 'mtumiaji ni mtu anaejua kutafuta lkn mbanaji ni lofa wa ugunduzi'
Mkuu life z too short to deal with cheap drinks,cheap food n being average.
#G.T.O
PoaHali ya maisha sasa hivi imekuwa ni tofauti, makampuni yanabana matumizi hivyo nasisi lazima tubane matumizi. Hizi ni mbinu unazoweza kuzitumia kubana matumizi
1. ukifanya maamuzi ya kuishi tafuta mahala ambapo ni karibu na ofisini kwako
2. ukiwa ndani ya nyumba zima taa katika vyumba ambavyo havitumiki
3. Kama una mahusiano mazuri na wafanyakazi na mnakaa karibu wekeni mpango wa kutumia gari moja ili mchangie mafuta
4. epuka kula nje ya nyumba ukiweza pika mwenyewe nyumbani
5. chagua harusi za kuchangia usichangie kila harusi
6. badala ya kulipia channel 150 kwenye king'amuzi lipia channels unazoangalia tu
7. badala ya kulipia gym jiunge na jogging clubs na fanya mazoezi mwenyewe (programs zipo kwenye internet)
8. ukitoka out na mtu mwambie kuwa kila mtu atajilipia bili yake
9. Ukienda kazini toka na baadhi ya vyakula ambavyo mjini ni gharama au havipatikani kama matunda
10 mtu akikuomba hela ghafla pima uzito wa maombi vinginevyo mwambie haiko kwenye bajeti mpaka utakapopanga bajeti nyingine.
11. ukinunua taa nyumbani nunua zinazotumia umeme kidogo
12. usipende kutembea usiku lolote linaweza likatokea likakugharimu pesa
13. usipende kuazima kitu cha mtu kikipata tatizo huna namna zaidi ya kulipa wakati ambao hauna hiyo bajeti 1
4. Nguo unazoweza kufua nyumbani usipeleke dry cleaner
sent from posta
ameongea buana ktk njia mficho, "ukitoka na mwenzako mwambie ajilipie bill....."Nashukuru tu kwenye hiyo list yako hujaongea chochote kuhusu bia.. maana ungelikua umeharibu kila kitu..
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Jaribu kununua vitu vya ndani kwa bei ya jumla
Sent from my TECNO WX3 using JamiiForums mobile app
Wewe ni tajiri ila hujaamua kupanga mikakati vizuriVimenigusa vyote nashukuru sana nitavifanyia kazi, maana naishi mbali na ofsin almost 30km kwenda then 30km kurudi. Nimemshawish wife tukapange karibu na office hataki,
kwa siku natumia mafuta ya 15000 pia njia ni mbovu hivyo service za Mara kwa Mara zinanihusu .
Post sent using JamiiForums mobile app