Haya maisha bwana huwa hayaeleweki,Mungu Akiamua kukubonyezea button ya riziki unatoka popote,wapo wengine walikuwa mama ntilie wametoka,wapo walinzi walikesha usiku wakaamka ma boss,wapo mayatima hawakusoma hata darasa moja wanakula kuku tuwakafanikiwa,wapo waliokuwama ma prof wakaishia kupata mishahara mbuzi na wapo waliosoma certificate tuu wamefankiwa sana,kifupi ukipelelza fani gani ukisoma itakutoa,hutakaa upate jibu we kasome tuu unayojisikia huku UkiMuomba Mungu