Fani usizotakiwa kutaja mbele ya pannel ya interview

political Engineer 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2014
Posts
295
Reaction score
793
Miongoni mwa maswali wanayopenda kuuliza katika usaili ni "HOBI/TALENTI"yako mbali na ulichosomea ni nini? chonde chonde usijetaja kwamba wewe ni msanii hasa muigizaji.kwa namna wasanii wa kitanzania walivyo wasanii ni watu wazembe,wanaopenda vya dezo,kuamka asubuhi wanakaa tu wanakula misele na kula raha.

Naomba utaje nyingine tafadhali
 
Basi ile Bachelor of Arts in Performing Arts pale UDOM ifutwe.
 
Miongoni mwa maswali wanayopenda kuuliza katika usaili ni "HOBI/TALENTI"yako mbali na ulichosomea ni nini? chonde chonde usijetaja kwamba wewe ni msanii hasa muigizaji.kwa namna wasanii wa kitanzania walivyo wasanii ni watu wazembe,wanaopenda vya dezo,kuamka asubuhi wanakaa tu wanakula misele na kula raha.

Naomba utaje nyingine tafadhali

Hueleweki. Tukusaidie nini?
 
Back
Top Bottom