GAS STATE JF-Expert Member Joined Mar 1, 2017 Posts 1,769 Reaction score 960 Oct 15, 2018 #1 assalam wakuu kama kichwa kinavyojieleza nataka niwe refarii kwa kiwango cha kimataifa(FIFA). JE KWA HAPA Maguland kozi hii inapatikana wapi? nina hobby sana na hii fani. nawasilisha
assalam wakuu kama kichwa kinavyojieleza nataka niwe refarii kwa kiwango cha kimataifa(FIFA). JE KWA HAPA Maguland kozi hii inapatikana wapi? nina hobby sana na hii fani. nawasilisha
Mbao za Mawe JF-Expert Member Joined May 11, 2015 Posts 23,367 Reaction score 55,054 Oct 15, 2018 #2 Una umri gani?
GAS STATE JF-Expert Member Joined Mar 1, 2017 Posts 1,769 Reaction score 960 Oct 15, 2018 Thread starter #3 Mbao za Mawe said: Una umri gani? Click to expand... 30
Mbao za Mawe JF-Expert Member Joined May 11, 2015 Posts 23,367 Reaction score 55,054 Oct 15, 2018 #4 GAS STATE said: 30 Click to expand... Mbona umri umekuwa mkubwa sana! Kiingereza kinapanda kwa mbali au sana?
GAS STATE said: 30 Click to expand... Mbona umri umekuwa mkubwa sana! Kiingereza kinapanda kwa mbali au sana?
GAS STATE JF-Expert Member Joined Mar 1, 2017 Posts 1,769 Reaction score 960 Oct 15, 2018 Thread starter #5 Mbao za Mawe said: Mbona umri umekuwa mkubwa sana! Kiingereza kinapanda kwa mbali au sana? Click to expand... kwani hiyo fani inbagua umri mbona Web alipiga kazi na 40+, English najuwa kidogo sio sana ya mwandiko na msemo.
Mbao za Mawe said: Mbona umri umekuwa mkubwa sana! Kiingereza kinapanda kwa mbali au sana? Click to expand... kwani hiyo fani inbagua umri mbona Web alipiga kazi na 40+, English najuwa kidogo sio sana ya mwandiko na msemo.
Mbao za Mawe JF-Expert Member Joined May 11, 2015 Posts 23,367 Reaction score 55,054 Oct 15, 2018 #6 GAS STATE said: kwani hiyo fani inbagua umri mbona Web alipiga kazi na 40+, English najuwa kidogo sio sana ya mwandiko na msemo. Click to expand... Sasa kama unajua kidogo na unataka uwe mwamuzi mwenye beji ya FIFA huoni kama uwanjani utakuwa unaingia na simu ku-google wasemacho wachezaji.
GAS STATE said: kwani hiyo fani inbagua umri mbona Web alipiga kazi na 40+, English najuwa kidogo sio sana ya mwandiko na msemo. Click to expand... Sasa kama unajua kidogo na unataka uwe mwamuzi mwenye beji ya FIFA huoni kama uwanjani utakuwa unaingia na simu ku-google wasemacho wachezaji.
GAS STATE JF-Expert Member Joined Mar 1, 2017 Posts 1,769 Reaction score 960 Oct 17, 2018 Thread starter #7 Mbao za Mawe said: Sasa kama unajua kidogo na unataka uwe mwamuzi mwenye beji ya FIFA huoni kama uwanjani utakuwa unaingia na simu ku-google wasemacho wachezaji. Click to expand... rubbish pessimistic thinking
Mbao za Mawe said: Sasa kama unajua kidogo na unataka uwe mwamuzi mwenye beji ya FIFA huoni kama uwanjani utakuwa unaingia na simu ku-google wasemacho wachezaji. Click to expand... rubbish pessimistic thinking
Mbao za Mawe JF-Expert Member Joined May 11, 2015 Posts 23,367 Reaction score 55,054 Oct 17, 2018 #8 GAS STATE said: rubbish pessimistic thinking Click to expand... Fanya kile unachoona kinafaa hakuna utakachopata hapa zaidi ya wewe kuchukua maamuzi ya kufanya unachotaka.
GAS STATE said: rubbish pessimistic thinking Click to expand... Fanya kile unachoona kinafaa hakuna utakachopata hapa zaidi ya wewe kuchukua maamuzi ya kufanya unachotaka.