FANI BAADA YA CLINICAL MEDICINE

Mr gyee

Member
Joined
Oct 2, 2018
Posts
12
Reaction score
9
Wakuu habari zenu!
Naomba kusaidiwa kimawazo kwa wale wenye ujuzi wa fani za kusomea kwa mtu aliyemaliza diploma ya Clinical medicine tofauti na MD(medical doctor) na AMO( Assistance Medical officer) ambayo mwisho wa kuisomea hii ni intake ya mwaka huu tu.Naomba kujuzwa kutoka kwa mchupuo huo mtu huyu anawezaje kujiendeleza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…