Muke Ya Muzungu
JF-Expert Member
- Jun 17, 2009
- 3,444
- 265
Ni nani huyu? Resume yake ikoje mkuu?Yaani William ni bora mara elfu moja kuliko huyo "Dr."Shayo.
Ni nani huyu? Resume yake ikoje mkuu?
Mazee wewe uko hapa tokea 2007 na hujawahi kusoma chochote kuhusu "DR." Shayo?
lol shayo na mashaka nani zaidi?
Mkuu nitoe tu tongotongo!Mazee wewe uko hapa tokea 2007 na hujawahi kusoma chochote kuhusu "DR." Shayo?
Nyani, umenichekesha sana! Kwa nini " Dr." unaiweka kwenye mabano?
Aaaah Rufiji....unajua kwa nini ninaiweka kwenye mabano bana!
naomba basi namba yake, nimemgoogle ila info humo hazisaidii kumpata - yaani leo nimemkumbuka sana!
You scratch my back, and I'll scratch yours.
Nitafutie whereabouts za yule mtu (NW) na mimi ntakutafutia za huyo unayemtafuta. Deal?
Nyani tutupie dondoo za dr shayo aise