Habarini ndugu zangu? naomba mawazo yenu naamini wapo ambao wana uelewa mkubwa kuhusu wapi ntapata fancing wire kwa bundle na bei yake na heka moja inatumia kiasi cha bundle ngapi .nina kashamba kangu (mlandizi - pwani) nahitaji kuzungushia kwaajili ya usalama.
Tafadhali naomba michango kwa wadau.Naamini JF ni kila kitu,asanteni
mkuu fens waya zipo za 2mm na 2.5mm,pia zipo fake!uwe makini unaeza ingia chaka!unahitaji za mm ngapi?moja inakua na urefu wa mita 15!unataka ununulie huku dar then upeleke mlandiz,au unataka uzipate huko huko?nijuze nikupe bei mkuu.