pingu mkoka
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 434
- 112
Habar wana JF,ninaimani mtakuwa wazima wa Afya njema.
Kuna jambo huwa linanitatiza,
Inakuje baadhi familiya nyingi kitajiri linapokuja suala la uzazi huwa linakuwa gumu kwa pande zote mbili,tofauti na walala hoi tatizo hilo halisumbu?
Karibun tuchangie ndugu zangu.
Inaoneka watu wenye uwezo wengi wao,nahisi ni wagumba,na ndo wanaongoza kwenda kwa waganga.Ujaeleweka unaamisha matajiri ni wagumu kutoa kizazi au kuangalia afya ya kizazi au upasuaji wa kizazi au vip?
Hivi uzazi wa mpango nao kuufata mpaka upate pesa.Familia inawatoto wawili au mmoja km Obama
Inaoneka watu wenye uwezo wengi wao,nahisi ni wagumba,na ndo wanaongoza kwenda kwa waganga.