af inaelekea BIGURUBE ananiombe kifo kweli kweli
mwambie iviii miaka 800 iyo roho ishindwe, maisha matam namna hii eboooo
ama kesha mtaftia hubby wangu kamchuchuuu nini??
nakuombea maisha marefu dada'ngu mzuri, nakuja huko mwezi ujao, kahotel gani kazuri wanauza bbq ya ka-dog?
mweeeeehhhhhhhhh!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Yaani mie neno dada'ngu mzuri limenikosha kweli.
Karibu sana kaka mzuri
Ahsante dadaaa, ingawa hujajibu swali langu, ka-dog na chimpumu vipo?

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa, Ramadhani Mungi.PICHA|MAKTABA
Kwa ufupi
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa, Ramadhani Mungi alisema jana kuwa tukio hilo lilitokea juzi na kwamba mama huyo alifariki dunia alipokuwa akipatiwa matibabu katika Zahanati ya Kilolo.
Kilolo
Mwanamke mmoja wa Kijiji cha Mtitu wilayani hapa, Grace Lubava (33), amemuua mtoto wake kwa sumu na kisha naye kujiua kwa njia hiyohiyo na baadaye mumewe, George Kingunge (45), kujinyonga kwa kamba kutokana na vifo hivyo.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa, Ramadhani Mungi alisema jana kuwa tukio hilo lilitokea juzi na kwamba mama huyo alifariki dunia alipokuwa akipatiwa matibabu katika Zahanati ya Kilolo.
Kifo cha mama na mtoto kilitokea baada ya mumewe kumzuia mkewe kwenda kumwona baba yake ambaye alikuwa amelazwa katika Hospitali ya Tosamaganga, alisema Mungi.
Alisema kuwa mume alimzuia mke huyo kwenda hospitali kwa madai kuwa alikuwa anakwenda kwenye mambo yake binafsi jambo ambalo lilimkera mwanamke huyo kiasi cha kufikia uamuzi huo.
Kamanda Mungi alisema baada ya Kingunge kubaini vifo hivyo na msingi wake, aliamua kwenda porini na kujinyonga.

CHANZO: Mwananchi
Misimamo ya hao jamaa inapita hata ile ya wamasai wa Longido, unamkumbuka Adam Sapi alichomfanyia Nyerere? Huyu Sapi ndie spika wa kwanza wa bunge la Tanzania. Unaambiwa Nyerere Kuna kipindi alimfukuza uspika. Mzee Sapi akamwambia hautakanyaga Iringa ww maisha yako yote, Nyerere akabisha akafunga safari kufanya ziara Iringa, ile kufika Kitonga yy na msafara wake wakaona mbele yao ni bahari tupu na hakuna njia ya kupita... Nyerere akageuza kurudi Dar, baada ya siku2 akatangaza kumrudishia uspika wake.
Watu wa Iringa, wana hasira sana au ni msimamo au nini, huwa sielewi