juve2012
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 3,343
- 2,024
Mkuu Juve2012,
Ina maana na huu mradi ya yale yale madudu kuwa wataweka mkataba mkubwa na kuchota hela za Mkopo?
Mkuu unaniongezea hasira tu kwa kunikumbusha huu uchafu mwingine wa juzi juzi.
Kuna wakati najiuliza,hivi hawa viongozi wetu ni watz kwa asili kweli?au wamejivika huu utanzania?
Last edited by a moderator: