MJADALA UMEFUNGWAKarume mwenyewe aliuliwa na watanganyika baada ya kuleta chokochoko dhidi ya Muungano. Familia yake imewekwa akiba mpaka watakapoweza kujikomboa upya kutoka kwenye makucha ya mkoloni.
watakula hadi lini? na kwa fatama karume yeye aliamua kutetea ushoga, utawasaidiaje sasa watu kama hao?Familia ya mzee Abeid Amani Karume imetengwa na mfumo wa Chama tawala?
Kumbuka CCM ina tabia ya kuwabeba sana watoto wa viongozi wastaafu na kuwapa nyadhifa mbali mbali, na hata isipotosha huwanyooshea njia zao kwenye biashara au kaz wanazofanya.
Vip kwa Familia ya Karume?
1. Karume Jr, Rais mstaafu hata kwenye dhifa za kitaifa haonekani.
2. Ali Karume ndio kafukuzwa kama "mbwa" kwenye chama cha baba yake usiku wa manane.
3. Fatma Karume na usomi wake na uzoefu wake wa muda mrefu kwenye sheria za ndani na za kimataifa lesseni yake ya uwakili ikapigwa pin, akapoteza uwakili, na firm yake ikapigwa bomu na watu " wasiojulikana"
4. Wasomi wa familia ya Karume ni wengi lakini wengi wanajifanyia kazi zao binafsi ukilinganisha na watoto wa wastaafu wengine..
Familia ya Nyerere yupo, Mwinyi wapo, Mkapa wapo, Kikwete wapo, Pinda wapo, Lowassa wapo, Kawawa wapo, Nnauye wapo, Malima wapo, kunani Karume?
Swali ni, Je wametengwa?
Familia ya mzee Abeid Amani Karume imetengwa na mfumo wa Chama tawala?

watakula hadi lini? na kwa fatama karume yeye aliamua kutetea ushoga, utawasaidiaje sasa watu kama hao?
Hapo kwenye 'chama cha baba yake' ndipo penye walakini.2. Ali Karume ndio kafukuzwa kama "mbwa" kwenye chama cha baba yake usiku wa manane.
Acha nao waonje magumu tunayopitia tusio na ndugu kwenye systemFamilia ya mzee Abeid Amani Karume imetengwa na mfumo wa Chama tawala?
Kumbuka CCM ina tabia ya kuwabeba sana watoto wa viongozi wastaafu na kuwapa nyadhifa mbali mbali, na hata isipotosha huwanyooshea njia zao kwenye biashara au kaz wanazofanya.
Vip kwa Familia ya Karume?
1. Karume Jr, Rais mstaafu hata kwenye dhifa za kitaifa haonekani.
2. Ali Karume ndio kafukuzwa kama "mbwa" kwenye chama cha baba yake usiku wa manane.
3. Fatma Karume na usomi wake na uzoeAcfu wake wa muda mrefu kwenye sheria za ndani na za kimataifa lesseni yake ya uwakili ikapigwa pin, akapoteza uwakili, na firm yake ikapigwa bomu na watu " wasiojulikana"
4. Wasomi wa familia ya Karume ni wengi lakini wengi wanajifanyia kazi zao binafsi ukilinganisha na watoto wa wastaafu wengine..
Familia ya Nyerere yupo, Mwinyi wapo, Mkapa wapo, Kikwete wapo, Pinda wapo, Lowassa wapo, Kawawa wapo, Nnauye wapo, Malima wapo, kunani Karume?
Swali ni, Je wametengwa?
Mmh hii familia imetoa marais wawili wa Zanzibar unataka nn zaidi ya hilo mkuuFamilia ya mzee Abeid Amani Karume imetengwa na mfumo wa Chama tawala?
Kumbuka CCM ina tabia ya kuwabeba sana watoto wa viongozi wastaafu na kuwapa nyadhifa mbali mbali, na hata isipotosha huwanyooshea njia zao kwenye biashara au kaz wanazofanya.
Vip kwa Familia ya Karume?
1. Karume Jr, Rais mstaafu hata kwenye dhifa za kitaifa haonekani.
2. Ali Karume ndio kafukuzwa kama "mbwa" kwenye chama cha baba yake usiku wa manane.
3. Fatma Karume na usomi wake na uzoefu wake wa muda mrefu kwenye sheria za ndani na za kimataifa lesseni yake ya uwakili ikapigwa pin, akapoteza uwakili, na firm yake ikapigwa bomu na watu " wasiojulikana"
4. Wasomi wa familia ya Karume ni wengi lakini wengi wanajifanyia kazi zao binafsi ukilinganisha na watoto wa wastaafu wengine..
Familia ya Nyerere yupo, Mwinyi wapo, Mkapa wapo, Kikwete wapo, Pinda wapo, Lowassa wapo, Kawawa wapo, Nnauye wapo, Malima wapo, kunani Karume?
Swali ni, Je wametengwa?
Niliwahi kusoma mahali sijui nani aliandika!!Mi mwenyew sipatagi jibu kwann Wanafanyiwa hivyo