Ulichagua kozi gani pale?Jamani naombeni msaada,
Kuna hiki chuo cha National Institute of Transport mpaka leo bado hakijatoa majina ya first degree waliochaguliwa kuingia pale kwa mwaka 2016/2017 na me na hisi nimechaguliwa pale, sababu niliomba vyuo vitatu yaani UDSM, UDOM na NIT Profile inaonyesha i have selected ila udsm na udom sipo.
Kama kuna mwanafamilia wa JF anayo list tafadhali mnisaidie ya hapo NIT
mwaka jana walilipoti mwezi wa ngapi? tarehe ngapi mkuu?yaan we hata usifikirie bado sana
Nenda chuoni kwa msajili yapo majinaJamani naombeni msaada,
Kuna hiki chuo cha National Institute of Transport mpaka leo bado hakijatoa majina ya first degree waliochaguliwa kuingia pale kwa mwaka 2016/2017 na me na hisi nimechaguliwa pale, sababu niliomba vyuo vitatu yaani UDSM, UDOM na NIT Profile inaonyesha i have selected ila udsm na udom sipo.
Kama kuna mwanafamilia wa JF anayo list tafadhali mnisaidie ya hapo NIT
huwa wanafungua lini kwa wale wa degree? mara wengine wanasema mwezi wa 11, wengine wa 12..wengine wa 2...kipi ni kipi?Nenda chuoni kwa msajili yapo majina
tujzane hata mimi naenda hapoBado hata mim naenda hapo mkuu
Ofcourse me mwenyewe vimebaki vyuo vi2 kutoa majina kikiwemo hicho hapo kozi hiyohiyo.mechanical engineering