Bishweko JF-Expert Member Joined Sep 29, 2011 Posts 4,280 Reaction score 2,980 Jan 30, 2014 #1 Wanajamvi, Ninamhitaji mfamasia kwa haraka sana. Vigezo; Awe ameitimu certificate na kudhibitishwa na bodi ya wafamasia. Mahali; Sehemu ya kazi ni jijini Mwanza. Mawasiliano; no. yangu ni 0757297942
Wanajamvi, Ninamhitaji mfamasia kwa haraka sana. Vigezo; Awe ameitimu certificate na kudhibitishwa na bodi ya wafamasia. Mahali; Sehemu ya kazi ni jijini Mwanza. Mawasiliano; no. yangu ni 0757297942
i pad3 JF-Expert Member Joined Mar 16, 2012 Posts 1,518 Reaction score 378 Jan 31, 2014 #2 Nina masters . Ngoja nitafute madogo wenye certificates
L lijumbete Member Joined Jan 22, 2011 Posts 52 Reaction score 10 Jan 31, 2014 #3 mfamasia wa kuajiriwa private au government? under wat bases mean mkataba ukoje? package?
peace2007 JF-Expert Member Joined Oct 9, 2007 Posts 282 Reaction score 187 Jan 31, 2014 #4 Bishweko said: Wanajamvi ninamuitaji mfamasia kwa haraka sana Awe ameitimu certificate na kudhibitishwa na bodi ya wafamasia Sehemu ya kazi ni jijini Mwanza. no. yangu ni 0757297942 Click to expand... Mfamasia iliyehitimu CERTIFICATE???:mod: Unatafuta Mfamasia (mwenye degree certificate) au Pharmacist (Pharmaceutical) Assistant (mwenye PA certificate)????
Bishweko said: Wanajamvi ninamuitaji mfamasia kwa haraka sana Awe ameitimu certificate na kudhibitishwa na bodi ya wafamasia Sehemu ya kazi ni jijini Mwanza. no. yangu ni 0757297942 Click to expand... Mfamasia iliyehitimu CERTIFICATE???:mod: Unatafuta Mfamasia (mwenye degree certificate) au Pharmacist (Pharmaceutical) Assistant (mwenye PA certificate)????