its MalekoGJ
Senior Member
- Aug 27, 2020
- 135
- 285
Nikiwa Nasomaa kitabu Cha Baba Wa Maridhiano Afrika
Cha Desmond Tutu (1999). No Future Without Forgiveness. Doubleday Publishing.
Nimejikutaa Na Maswali Mengii mno
Je, taifa linaweza kuwa huru ikiwa mioyo ya watu wake bado imefungwa na visasi dhidi ya Dola?
Je, maridhiano ya kweli yanaweza kuwepo bila ukweli , Uwazii na uwajibikaji na Reparation?
Tanzania inapaswa kuelekea wapi kati ya retributive justice (haki ya kulipiza) Na Je Katika Malipizo tunalipa Vipii?
na restorative justice (haki ya kurejesha)? hapa Maswali ya Uhai wa Watu vipii Will you restore it
Ni kwa namna gani mchakato wa maridhiano unaweza kuwa chombo cha transitional justice Tanzania?
Ni kundi gani lina wajibu mkubwa zaidi wa kuhakikisha Watu wanaridhiana
Wazee Waliokaa Kimyaa Wakatii Haki na Uhai wa Vijana Ukiporwa ?
Viongozi wa Dini waliokua Wahubiri Neno Amanii Bila Kufundisha Na kuhimiza Hakii na kuisimamia haki??
Viongozi Wa Upinzanii Waliofungwa Magerezanii Kwa Kesi Za Uhaini na Ugaidii??
Au Chama Tawala ambachoo Wao ndo Wasimamizii Wa Hivyoo Vyomboo Vilivyotekelezaa Mauajii Ya Raia Wake Kwa Waume Na Watoto ??
Au Wanaharakatii Walioshushiwa Mzigoo Wa Lawama???
Au Wananchii walioumizwa Kwa kupoteza Nduguu na Jamaa Zao
Badoo Najiulizaa Ukuu Nikikosa Majibu
Siasa ya Maridhianoo