Falsafa za wanawake wasioolewa

tatizo anataka tuish kama yeye amezoa wote tuolewe


Ndiyo tatizo la jamii kukaririsha watu , hivyo naye aandika kulingana na alivyokaririshwa .
 
hivi kwanimi mwanamke asipoolewa mapema akavuka miaka thelathini...huwa anasimangwa sana na watu hadi jamii anayoishi
lakini
mwanaume akicheleqa kuoa wala hasimangwi..
Mie nashangaa wanawake wanaoishi kwa kuwaza jamii ina wachukulia vipi wakifikisha umri fulani bila kuolewa.
Kichwa chako serikali yako bana.
 
Ndio najua kuoa au kuolewa ni chaguo la mtu na pia si sheria,lakini sio suala la jamii yangu,ila ni jamii zote duniani watu WANAOANA AU KUISHI PAMOJA,ILA KIUTU NA KIUBINADAMU,MTU ANAYEISHIMIKA KTK JAMII NI YULE ALIYEOA AU KUOLEWA AU ANAISHI NA MTU. Haina maana unatafuta maisha ukiwa hakuna unaowatafutia,au hakuna wanaokutegemea,ina maana gani sasa ya kuishi si ujinyonge tu ...... Kwa mfano leo hii wewe ndio umeshaishi maisha yako ya kutokuwa na mtu maana yake HUTOKUWA NA MTOTO/WATOTO sasa kesho na keshokutwa umekufa mali ulizozitafuta unamuachia nani au zilikuwa na sababu gani ya kuzitafuta ........... ?
 


Any way, life can't be uniform.
 
Any way, life can't be uniform.
Yes,life can't be uniform,lakini nakushauri KAMA NA WEWE ULIKUWA UNAISHI HIVO ACHA MARA MOJA NA SIO MAISHA HAYO IKIWA TU UMESHATIMIZA UMRI WA MIAKA ZAIDI YA 25 NA UNAJIMUDU KIMAVAZI,MALAZI NA KULA BASI NI WAKATI MUAFAKA WA KUISHI NA MTU ILI UWE NA WARITHI WA BAADAE NA VILE UNAVYOVITAFUTA SASA VIWE NA MAANA,LA SIVYO HAKUNA SABABU YA KUJIANGAISHA NA KUTUMIA AKILI NYINGI ZA KUTAFUTA WAKATI HAKUNA WANAOKUTEGEMEA KWA LOLOTE,ZAIDI ZAIDI NDUGU WANAZIPIGIA MAHESABU MALI ZAKO,LABDA KAMA UNA MATATIZO YA KIAFYA NDIO UNA JINSI.
 
Ushauri mzuri sana huu!
 
Sahihi kabisa mkuu! Kuna mchangiaji mmoja alitoa hoja ya msingi sana.alisema kama huitaji kuoa au kuolewa ishi kama alivyoishi bwana yesu.sio kujifanya hutaki kuoa au kuolewa kisha unazini
 
Wee kila MTU na maisha yake hatuwez kusikiliza wala kufata mitazamo yako wee sio mungu kama upon ndoan na unaona no vyema in wewe acha tuenjoy life tunayopenda maisha hayana formula
 
Wee kila MTU na maisha yake hatuwez kusikiliza wala kufata mitazamo yako wee sio mungu kama upon ndoan na unaona no vyema in wewe acha tuenjoy life tunayopenda maisha hayana formula
Una enjoy kwa lipi wewe! Stress zitakuua hizo.omba mungu akubariki ubahatike na wewe uingie chamani,jua linakaribia kuzama
 
Povu la nini mkuu? Mshirikishe mungu na wewe siku moja uvae shela kama madam flora.
 
Sahihi kabisa mkuu! Kuna mchangiaji mmoja alitoa hoja ya msingi sana.alisema kama huitaji kuoa au kuolewa ishi kama alivyoishi bwana yesu.sio kujifanya hutaki kuoa au kuolewa kisha unazini
Kweli kabisa.
 
Maisha, siyo kuolewa/ ndoa tu kuna mambo mengi zaidi ya hiyo kuoa na kuolewa.

Acha kukariri vitabu na machapisho yaliyojaa porojo.

Any way, her life, its her choice.
Wewe nae utakua na january za kutosha na hujaolewa
 
Shida kubwa wanawake wanshindwa kutambua Mwanamke wa kuolewa anatengenezwa umri kati ya miaka 22 hadi 25 ambapo mwanaume atamuoa akiwa na miaka 27 hadi 30 lakini umri huo sasa hawa dada zenu ndo muda wa kuvaa viguo vya nusu uchi na kujifunza vitu vya hovyo hovyo na kuwa na mabwana wengi badala ya kujitunza .

Wakija kufika umri wa kuolewa miaka 25 hadi 30 wanakua na matiti kama ndala za umoja uvungu umeharibika haufai nani atakuoa sasa.

MTAISHIA KUCHEZA KWAITO HARUSI ZA WADOGO ZENU MSIPO BADILIKA...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…