Falsafa za wanawake wasioolewa

b191

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2016
Posts
742
Reaction score
1,032
Habari,
Wanawake wengi wakiwa hawajaolewa (ama wana watoto au la) baada ya miaka 30 huwa na falsafa zao.

Moja ya falsafa zao ni hii hapa. (Unaweza pia kuongezea)

 
Reactions: THT
Habari,

Wanawake wengi wakiwa hawajaolewa ( ama wana watoto au la) baada ya Miaka 30 huwa na falsafa zao.

Moja ya falsafa zao ni hii hapa. (Unaweza pia kuongezea)
Hahahahahaha! Kama alishawahi olewa kabla then akaachika,ndo anazungumza falsafa hiyo.lakini hajawahi hata kuolewa anazungumza hivyo kufariji moyo,na kujipa matumaini.utamu wa ngoma uingie uicheze.
 
Maisha, siyo kuolewa/ ndoa tu kuna mambo mengi zaidi ya hiyo kuoa na kuolewa.

Acha kukariri vitabu na machapisho yaliyojaa porojo.

Any way, her life, its her choice.
Hahahaha
 

Mkuu, unacheka eeeh!?
Haya maisha, kila mtu bora aishi anavyoona ni rahisi kwake na anafurahia maisha.

Ukitaka kufurahisha kila mtu, ni bora ukauze ice creams , maana ndizo mteja akionja tu ni lazima atabasamu.

Mimi ni mwanaune. Ila naona kuwa , kama mwanamke ama mwanaune anaamua kutoolewa/ kuolewa na yuko na amani acha aishi apendavyo.

Any way, her life, its her choice!
 
Mkuu, umewahi kukutana na mwanadada au mwanamke ambaye ana umri zaidi ya miaka 30 na hana Mume?. Aisee ni balaaa.
 
Mkuu, umewahi kukutana na mwanadada au mwanamke ambaye ana umri zaidi ya miaka 30 na hana Mume?. Aisee ni balaaa.

Ndiyo tena they are very creative, innovative and confident , hasa shuleni na kazini.

Tatizo ni pale akijiachia jamii iamue hatima yake.
 
hivi kwanimi mwanamke asipoolewa mapema akavuka miaka thelathini...huwa anasimangwa sana na watu hadi jamii anayoishi
lakini
mwanaume akicheleqa kuoa wala hasimangwi..
Kwa mwanamme akichelewa kuoa hasimangwi kwa sababu yeye ndo kichwa cha familia,hawezi kuoa ikiwa hajajipanga hata kulisha familia na kutoa huduma nyingine muhimu za familia.Na pia anaweza akawa hana kazi ya maana itakayoweza kumpa mkate wa kila siku.je wewe mwanamke unasababu gani ya msingi hadi umri huo? Ikiwa maandiko yanasema mwanaume utakula kwa jasho na mwanamke utazaa kwa uchungu.
 
Ndiyo tena they are very creative, innovative and confident , hasa shuleni na kazini.

Tatizo ni pale akijiachia jamii iamue hatima yake.
Hahahahaha! Hongera sana mkuu kwa kujifariji.siri unayo moyoni mwako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…