Falsafa za Mwalimu Nyerere ya Ujinga

Falsafa za Mwalimu Nyerere ya Ujinga

Uyole12

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2010
Posts
595
Reaction score
176
 
Attachments

  • 20190218_164522.jpg
    20190218_164522.jpg
    379.6 KB · Views: 45
Naunga mkono hoja...ukiona jitu limesimama na mishipa kushabikia uozo wa serikali ni ujuha pia
 
Kuna miradi mikubwa ambayo lengo lake ni kuboresha hali za watu kwa miaka ijayo. Tulikuwa tunapiga siasa tukiikwepa aina hiyo ya miradi, umefika wakati hatuwezi kuendelea kuikwepa.

Mradi wa treni hatuwezi kuukwepa, lazima nchi ifunguke. Ifike wakati liwe ni jambo la kawaida kwa mtu kufanya kazi Dar akiwa anaishi Dodoma au Singida.

Ujerumani mtu anafanya kazi Ulm ambako ni karibu na mpaka wa Switzerland lakini anaishi Hamburg ambako ni kaskazini kabisa. Lazima Tanzania tuifungue, sio sehemu kubwa ya nchi ibakie pori tu, mahali ambapo hakuna uhai wa kimaendeleo.
 
victorione
 
Back
Top Bottom