Alianza rostam..sasa lowasa...bado chenge
Ccm inaendelea kusimamia na kutekeleza falsafa yake ya kujisafisha kwa kuwatema na kuwatenga makada wake wenye dosari za ufisadi,matumizi mabaya ya madaraka na kashfa mbalimbali. Ccm kisimame imara kijisafishe na kisitetereke. Kisimamie misingi ya kuundwa kwake na kirudishe maadili na uzalendo wa wanachama wake kwa taifa letu.
we chizi kweli ndorobo we hujui uandikacho
unamaanisha Lowasa kafukuzwa ccm au... na lembeni je hawa wamejitoa wenyewe hawajafukuzwa na Mzee moyo wa zenji utasemaje
mkuu tusipindishe ukweli. hao uliowataja wmeondoka ccm baada ya kukatwaaaaaaaaaaa.we chizi kweli ndorobo we hujui uandikacho
unamaanisha Lowasa kafukuzwa ccm au... na lembeni je hawa wamejitoa wenyewe hawajafukuzwa na Mzee moyo wa zenji utasemaje
Kwani hujui kuwa huyo jamaa atakuwa anatetea per day yake ya buku 7 pale Lumumba ili asiikose?Wewe najua umebandika na kukimbia, huwezi hata tetea ulichopost. Mambo mengine potezea tuu sio lazima nawe uonekane hapo chamani ulipost thread JF ya kumponda fulani. Kuwa na fikira huru kijana, acha hizo akili za kushikiwa na kushabikia jambo.
Amka sasa,muda ndo huu amua moja.