Kwa kuwa falsafa ya chama ndiyo msukumo mkubwa wa wanainchi juu ya imani ya mwelekeo wao kutokana na ilani na itikadi ya chama basi wzi falsafa ya chama ndio kituliza roho kikubwa na ni matumaini yanayotukuka kwa wanainchi waliyo na itikadi ya chama fulani
hizi ndizo falsafa za vyama viwili
CCM - "Kidumu chama Cha Mapinduziiiiiiiii" Vs CHADEMA - "Peoples Powerrrrrrr"
ipo wazi Peoples power ndiyo yenye kuleta matumaini na ndiyo yeye maana inayoeleweka zaidi na inayohusu zaidi jamii. Hiyo ya wachakachuaji ni ya kwao wenyewe na haihusu wenye itikati tofauti ambao pia ni watanzania.
Mapinduzi ya kuipindua nchi mithili ya miguu juu kichwa chini.....!? Kamwe hayatanitokea kwa hiari yangu, lakini pia sitachoka kupigania DEMOKRASIA na MAENDELEO, maana ndio hitaji langu, familia yangu, jamii yangu na Taifa langu kwa ujumla....!

turudi kwenye mada.... je peoples power inawezaje kutoa msisimko na maono ya sera za CHADEMA...... maana kubwa ya peoples power ki itikadi ni nini na kama falsafa ya chama