Slow down Missy....SLOW DOWN!!
Safari hata haijapangwa wala kuanza ushapanga destination?!Acha hizo...
Hahaha...unachagua yule ambae unaona anakupendeza zaidi kwa kila jambo.
..
Slow down Missy....SLOW DOWN!!
Safari hata haijapangwa wala kuanza ushapanga destination?!Acha hizo...
Hahaha...unachagua yule ambae unaona anakupendeza zaidi kwa kila jambo.
..
Hahaha si unajua kama unakula pili pili kichaa lazima zikuwashe..Kuna tofouti moja hapa mimi napo sema kuonyesha sio una act nakusudia unaonyesha unampenda kwa dhati yani unapenda nasio una act.Tatizo kukimbizana na kichaa siwezi...ila ngoja NIJARIBU.
Kama humpendi mtu hamna chakuonyesha zaidi ya kwamba humpendi. Kinachotangulia ni kupenda..hisia ziwepo na kinachofuta ni kuonyesha hayo mapenzi. Huwezi kuonyesha kitu ambacho hakipo...unless UNAISHI UONGO. Kwahiyo kama hivyo ndivyo basi uko sawa kabisa....anza kuonyesha.
Asubuhi njema.
Lazima nijue naenda wapi (destination )
Kabla hatuja panga safari ..
Duhhhh wote wazuri kwa njia zao aise ..
na wote wamenifia fia na kunizimikia Kia mtoto wa geti Kali ..
Sasa utamuonyeshaje badala ya KUACT kama humpendi?!Hahaha si unajua kama unakula pili pili kichaa lazima zikuwashe..Kuna tofouti moja hapa mimi napo sema kuonyesha sio una act nakusudia unaonyesha unampenda kwa dhati yani unapenda nasio una act.
..Tatizo lako kiswahili hujui Lizzy ndo mana nakakuliza umesomea wapi kiswahili....nasema kajifunza kuongea slang tu za kiswahili lugha ya kiswahili ngumu kwako.
Ku act nimekusudia wengine wana act fake.Sasa utamuonyeshaje badala ya KUACT kama humpendi?!
Falling in love...
I believe that for many of us it's easier to fall IN love when we out of relationships and OUT of love when we are in relationships.
Kabla ya kumuweka mtu mikononi sauti yake tu inaburudisha akili, moyo na mwili...akiongea unatamani asimalize. Kila anachosema kinakukaa akilini, utani wake unachekesha na maneno matamu yanakuingia. Mkifikia kwenye kugusana, kushikana mikono tu kunatoa raha ya kipekee. Ukimuwaza/fikiria/kumbuka tabasamu na utulivu moyoni vitawala.
Ukisikia kakuongelea sehemu basi raha tupu alimradi kakuongelea kwa uzuri.
Majina kama mtarajiwa..mpenzi..wife(y)..hubby..laaziz..sweetness(heart)...love(r)...baby(ez) n.k yanashtua moyo na kuongeza mapigo mpaka pale mtu anapokua mwenzi. Hapo u-hubby/wife(y)/u-sweetness(heart)/upenzi na ulaaziz vinaondoka. His/her jokes stops being funny...his/her voice becomes annoying...the coolest things about him/her becomes boring etc.
Konnie ubarikio nao unataka uwe na floor manager?!
14. USIJARIBU na kama tayari ACHA kumlinganisha na wanaume/wanawake wengine unaowafahamu/kutana nao unless yeye unamuweka juu. Kama hao wengine unawaona bora sana utaishia kumuona wako si lolote...si chochote.
Kwakipengele hicho tu mimi tayari nakuwa nasikia raha isiyokifani na ufikia kuona kinywa chake kama chakwako au zaidi ya cha kwako na utamani ulimiwako ukae huko masaa yote kwenye kinywa chake!!Love is something very special which need care,tension!!
Hhahahaha ..zawadi sofa..kitanda na godoro.Mambo ya khanga khanga na madaftari yamepitwa na wakati.ubarikio mbona shereha kubwa sana ya kutoa na kadi ya michango
nilidhani ni besidei ya friji kutimiza mwezi mmoja.
Ubarikio, tunaita na mgeni rasmi