PSPA Pure'12 udsm
JF-Expert Member
- Jan 11, 2013
- 834
- 450
Marhabaaaa......!!!!
Hamjambo wote?
Yamemtokea puani kijana mwenzenu kwa kutaka sifa za kijiiiinga. Hii ni tabia ambayo imeendekezwa sana na vijana hasa wanaume kupita mtaani, vijiweni,vimbwetani,sokoni,mpirani, kwenye kahawa n.k kutangazia jamaa zake ili wamuone yeye Bonge la kitom.bi.
Akiona dem mzuri mtaani kabla hata ya kuchukua no.ya simu anaanza kumtangazia mbovu....eti Jesca nishasex nae kitambo. Na anatoa fake evidence kabisa as if it really over .....kumbe mackini ya Mungu Dada wa watu hata hamfaham.
Wanaume daaaah.....huu c mpango wala nini, sasa mwenzenu ashaumbuka huku mtaani. mdada alivockia tu anazinishwa ,akamwitia wadada wenzie wakiswazi cunajua tena! wacha wamnyambe mbele ya majority.
Najua Mpo wengi tu wa design hii...anzeni kutia maji.