Iselamagazi
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 6,083
- 6,241
Kiingereza ni lugha na siyo elimu.Elimu bongo ipo ICU. Jitu linamaliza chuo kikuu halijui hata kujieleza
Kiingereza ni lugha na siyo elimu.
Waanze na wale wenye Degree na PhD feki/Vyupi kutoka Vyuo vinavyotambulika kwanza.Pafanyike crackdown kuondoa utapeli
Mfano wa chuo fake kinachokaliwa kimya na TCU?unashangaa ya Nigeria wakati hapa Tanzania kuna INTERNATIONAL UNIVERSITIES ni vyuo feki na walimu feki. Na TCU wamekaa kimya tu.