Wadau, ikiwa katika mpira wa miguu kila mechi inapoisha huwa kuna kubadilishana jezi kuonesha "FAIR PLAY".... Je, kama kungekuwa na fair play ya kubadilishana chupi mara baada ya tendo la ndoa ungekuwa na chupi ngapi?
Idadi ni ile ile ulizo nazo, kwa sababu wewe unachukua na hapo hapo unatoa yako, unless uniambie kwamba mmoja wenu hakuja na "jezi" kabisa, hapo mwenye jezi ataloose bila kugain

Tatizo ni kwamba jezi inabidi urudi nayo home kama ukumbusho, sasa mkibadilishana unasemaje ukifika old traford? kwamba ulikuwa lets say corinthians kwa mkopo?
wadau toka utotoni duh bt i thnk tuanzie miaka 18 maana zile gemu za utoton twacheza kibababa na kimamama au tuziesabu nazo itakuwa baraha maana ilikuwa mkijificha tuu mamboz yanaanza