Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 23,251
- 28,406
Napenda kuishauri serikali iweke utaratibu wa kuziweka mtandaoni faini za madereva wa magari.
Idadi kubwa ya magari yanayoendeshwa na madereva waajiriwa, kutokana na hali hii baadhi ya madereva wanapopigwa faini wao hunyamaza wakijua baadaye hawatakuwa na magari husika, na bahati mbaya magari yenyewe ni ya kupokezana, jambo linalosababisha gari kukamatwa na dereva mwingine na mmiliki kujikuta akilipa faini na riba ya malimbikizo.
Muda umefika sasa kwa serikali kuweka mamba za magari na majina ya madereva mtandaoni ili wenye magari waweze kufuatilia mwenendo wa magari yao na kuondokana na riba za faini.