shikulaushinye
JF-Expert Member
- Aug 29, 2014
- 828
- 456
Wakuu mi nina wazo kuwa serikali iweke mkazo kwenye kuwasimamia askari wa usalama barabarani, mfano kila mkoa uweke malengo ya kukusanya shilingi bilioni moja au zaidi kwa mwaka. yaani kila mwezi askari wa usalama barabarani wakusanye milioni 90 sawa na magari faini ya 30,000/= kwa magari 100 kwa siku kwa mwaka sawa na bilioni 1.08. Mfano kulingana na repoti ya kamanda sero kwa kipindi cha siku chache tu jeshi la polisi limekusanya zaidi ya milioni 700. Serikallai iwe serious POLISI akikamatwa anachakachua out akafanye kazi nyingine. Hatuwezi kuwa na jeshi la askari wanaolala kwenye full suite za mabati. wengien wamezagaa mtaani mwisho wanapanga deal na Raia.