Fainali

hata sijaelewa unamaanisha nn?
 
Yeah.....hapo maujanjaujanja ya kutembea kwa mikogo ya ujana kwa heri.Ni full kutembea huku unaitafakari nchi tu na kucheza na wajukuu.
 
Ally Choki.... Unatakiwa utumie akili, busara pia uwe mvumilivu ili ukabiliane na wimbi la maisha......!!! Mzee fainali yake ya maana sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…