Fainali za Rugby Kombe la Dunia

Ngambo Ngali

JF-Expert Member
Apr 17, 2009
3,517
1,359
Kwa mara ya kwanza jukwaa limekaukiwa na habari nyeti.

Leo ni nusu fainali ya kombe la Dunia kwa mchezo wa raga (rugby) kati ya New Zealand na Australia.

New zealand wanaongoza mpaka sasa 17 dhidi ya australia 6
 
i like new zealand,ausrtalia imeshikwa pabaya
ila ngoja dk ndio mwamuzi
 
mchezo umekwisha New Zealand 20 Australi 6, Kukutana na ufaransa katika mechi ya mwisho ambao wanaonekana ni vibonde kwa New Zealand
 
Mi tangu boks watoke mzuka umekata kabisa, ingawa zilikuwa hujuma za refa!
 
Aise All Blacks wame deserve kusonga mbele, pack yao ilikua na nguvu zaidi, walikua sharp na ferocious, kiu jumla waliwazidi Ausies kwa kila kitu!

Fantastic semi!
 
Back
Top Bottom