Kozo Okamoto
JF-Expert Member
- Oct 14, 2013
- 3,391
- 1,546
I presume you have had your lunch...
na yet
shikamoo kaka Kozo Okamoto ukishanyonga nitakuja kukutafutia faili lako mahakamani
miss chagga we acha tu,utadhani mtu kazi namfanyia yeye,two weeks nao eti faili halionekani.mwaka huu nitaenda kumtoa bosi ofisini aje anitafutie
kweli uhasira mpaka umeshindwa sema not yet..pole sana
Njaa ya swaumu inamsumbua huyu. masjala yote Tanzania yako digitali. haya faili litakosekanaje au ni kwenye ofic ya kijiji ?
kweli uhasira mpaka umeshindwa sema not yet..pole sana
iko siku nitanyonga wahudumu wa masjala.ngoja waendelee kunitibua tu
wanataka rushwa wewe hujui mchezo wewe... hapo mpaka atoe kitu kidogo
ha ha hahaa toa hela upate kitu... hapo bosi atakuchekea chekea tena ukute unachakula yake hapo masijara ndio basi tenahahahah ngoja nikachukue mihogo hapo nje afu nakaa mlangoni kwa bosi ili aniambie kama mi mwajiriwa wa secta hii au lah.kama faili halionekani then ruksa nikakae na familia coz mi sio wa hapo na faili langu halipo hapo
Njaa ya swaumu inamsumbua huyu. masjala yote Tanzania yako digitali. haya faili litakosekanaje au ni kwenye ofic ya kijiji ?
ha ha ha hapo jiongeze au nunua mihogo uje ule na wwahusika hapohiyo hela niwape kutoka wapi wakati ndo faili wamelikalia?si ndo washughulikie hela itoke niwagawie?
ha ha hahaa toa hela upate kitu... hapo bosi atakuchekea chekea tena ukute unachakula yake hapo masijara ndio basi tena
we unaota,uko secta gani tz hii imbayo ni digitali tupu?au kijiweni unauza mihogo?
ha ha ha hapo jiongeze au nunua mihogo uje ule na wwahusika hapo
leo ninao tu,muda wa kazi unaisha saa tisa na nusu.watakuwa washakiona cha moto