Failed To install Bluestack

Ishu kama hiyo hiyo niliisolve kwa kuinstall mashine windows 8
Wacha nijaribu hio juu nimepewa na Chief Mkwawa ikigoma nayo itanipasa kubadili window kutoka 7 kwenda 10 Ingawa 10 siipendi.
 
Nimefanikiwa kuipakua hii na kui install, ingawa haitaki whatsapp kukubali inasema not compatible with my device lakini apps zingine zinakubali, nashukuru sana.
mkuu hio whatsapp una install toka playstore? jaribu kueka manual toka site yao.

Android

ikikataa labda uchange hio emulator itoke tablet mode (kiupana) iende phone mode (kiurefu).
 
Kwangu nime-install lakini haiplay video clips... msaada
Jaribu kudowload vlc apk kupitia play store au download manually kisha iweke uone. Jaribu Nox player hii ni nzuri pia unairoot kisha video, picha na audio unazopata kwenye whatsApps na site zingine unazuhamishia kwenye pc unacheki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…