Angalia Bluestacks yako ni version gani na je, ni offline au online Bluestacks?.Jah nasindwa kuinstall Bluestacks kwa pc ram ya pc ni 4gb sema imetumika mda nisaidien wenye ujuzi.
ThanksAngalia Bluestacks yako ni version gani na je, ni offline au online Bluestacks?.
Na pia ni
1. Ni Bluestacks2 native
AU
2. Ni Bluestacks3 native?
Kama ni online check your internet connection huenda inasumbua sbb kama ni offline huwa ni ngumu kukataa kuinstall. Hiyo ni ya kwanza Bluestack2
Na ya pili yaani Bluestacks3 (Hii ni kwa wanaopenda game. Hii kuinstall kwake mpaka uzime antivirus kwenye PC yako. Kwa Ram yako siyo tatizo.
OPTION
Jaribu NOX PLAYER ni nzuri pia.
Good luck
UsijaliThanks
THE APPLICATION WAS UNABLE TO START CORRECTLY (0xc000007b). Click ok to close the program INasema baada ya kuinstall. ni windows 7 64bit RAM YA PC NI 4GB. na nikijaribu kui unistall inaniambia ERROR OPENING INSTALLATION LOG FILE. VERIFY THAT THE SPECIFIED LOG FILE LOCATION EXISTS AND IS WRITABLE.ikishindwa inasema nini?
achana na ujinga huo, njoo Nox Player!THE APPLICATION WAS UNABLE TO START CORRECTLY (0xc000007b). Click ok to close the program INasema baada ya kuinstall. ni windows 7 64bit RAM YA PC NI 4GB. na nikijaribu kui unistall inaniambia ERROR OPENING INSTALLATION LOG FILE. VERIFY THAT THE SPECIFIED LOG FILE LOCATION EXISTS AND IS WRITABLE.
Kwangu nime-install lakini haiplay video clips... msaadaAngalia Bluestacks yako ni version gani na je, ni offline au online Bluestacks?.
Na pia ni
1. Ni Bluestacks2 native
AU
2. Ni Bluestacks3 native?
Kama ni online check your internet connection huenda inasumbua sbb kama ni offline huwa ni ngumu kukataa kuinstall. Hiyo ni ya kwanza Bluestack2
Na ya pili yaani Bluestacks3 (Hii ni kwa wanaopenda game. Hii kuinstall kwake mpaka uzime antivirus kwenye PC yako. Kwa Ram yako siyo tatizo.
OPTION
Jaribu NOX PLAYER ni nzuri pia.
Good luck
Usiku ule nilipakua setup ya nox sasa naiweka nayo naona inanigomeaachana na ujinga huo, njoo Nox Player!
kama zinagoma nyingi pengine ni tatizo la virtual player,Usiku ule nilipakua setup ya nox sasa naiweka nayo naona inanigomea
Ram 2gb unaweza kuweka hata BluestacksJamani na cc wenye pc za 2gb ram tunaweza kutumia android emulator ip!
Ishu kama hiyo hiyo niliisolve kwa kuinstall mashine windows 8THE APPLICATION WAS UNABLE TO START CORRECTLY (0xc000007b). Click ok to close the program INasema baada ya kuinstall. ni windows 7 64bit RAM YA PC NI 4GB. na nikijaribu kui unistall inaniambia ERROR OPENING INSTALLATION LOG FILE. VERIFY THAT THE SPECIFIED LOG FILE LOCATION EXISTS AND IS WRITABLE.
Nilijaribu kuweka bluestack ikawa inakuwa nzito na kustack sanaRam 2gb unaweza kuweka hata Bluestacks
Processor ngapi? Ram 2gb ni fair deal yawezekana processor ni ndogo.Nilijaribu kuweka bluestack ikawa inakuwa nzito na kustack sana
youwave inakubali hata pc za ram 1gb sema ni ya kulipia, mpaka utafute crack.Jamani na cc wenye pc za 2gb ram tunaweza kutumia android emulator ip!
Process ni intel celeronProcessor ngapi? Ram 2gb ni fair deal yawezekana processor ni ndogo.
Cheki simulator zingine, kuna momo app player imewekwa link na chief mkwawa icheki hiyo.
halafu sometime sio ram tu, ram inaweza kuwa ok ila cpu ikawa ni ndogo ama hujaeka drivers za graphics etcNilijaribu kuweka bluestack ikawa inakuwa nzito na kustack sana
Ukienda kwenye interface ya My Computer uki-right click kisha uka-left click Properties utaona processor imeandikwa ngapi.Process ni intel celeron